Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Unauliza kama imetoka moyoni mwa TBC?Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.
Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari?
Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile kinachowatoka midomoni?
Kama kama wameripoti kwa kiasi gani? Imetoka moyoni au ndo Bora iende?
Hata Itv hawana huo ujingaMhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.
Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari?
Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile kinachowatoka midomoni?
Kama kama wameripoti kwa kiasi gani? Imetoka moyoni au ndo Bora iende?
Yaani TBC ina moyo, Figo, miguu, mikono nk.Nchi hii bana kazi tunayo na hawa chawa na punde tutawaona kunguniUnauliza kama imetoka moyoni mwa TBC?
Mkuu Resilience , hiki unachokifanya hapa ni kuingilia uhuru wa vyombo vya habari kwenye kitu kinachoitwa editorial independence, newsroom zina uhuru wa kuamua ipi ni habari kwao na ipewe uzito gani, habari kuwa Lissu atarejea might be it's a big news kwa Chadema, halafu ikawa ni no news kwa TBC and TBC wakawa very right.Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.
Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari?
Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile kinachowatoka midomoni?
Kama kama wameripoti kwa kiasi gani? Imetoka moyoni au ndo Bora iende?
Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi.