Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Kitu pekee ambacho umesahau ni kwamba Ali kiba pia kavunja rekodi ya ngoma yake kupata views wengi ndani ya mda mfupi kuliko. Hiyo pekee ni LA kujivunia kwake
Views za kukeshea Youtube
 
Naamini hata nyie mngeweza kukesha, utanichaguliaje silaha kweny vita!!!!
 
Acha ushabiki maandazi kijana, fanya mambo yenye tija kwenye mustakabali wako.

Anyway, nimeangalia nikakuta jamaa anawatrail kwa tofauti ya views laki 6.8
 
Kitu pekee ambacho umesahau ni kwamba Ali kiba pia kavunja rekodi ya ngoma yake kupata views wengi ndani ya mda mfupi kuliko. Hiyo pekee ni LA kujivunia kwake
ASIYEJUA MAANA USIMWAMBIE KAKA, ACHA WAJITEKEKENYE, kila siku wanajifanya wanaviewers weng bt hawajawah kuvunja rekod, mwanaume ngoma moja kavunja kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtu ghali auzwae kwa bei cheeeee. The king mwenyewe.
Mtu ghali aneyepewa thamani kwa matukio.
Kama sio domo kuchafua hali ya hewa wimbo seduce ungekuwa na viewers kweli?

Kuna mpumbavu kanitumia hii kwenye Whatsaap yangu sijui alikuwa anamaanisha nini, anadhani na mimi nashabikia hayo mambo ya ma house gelo sijui.
 
Mkuu muda huu hawataongeza views tena maana wote wamehamia kiakili Nairobi.
 
II NGOMA MTAANI HAIPO KABISA CJUI KWANN

Sent using Jamii Forums mobile app
bosi ucshangae huyu ni msanii popular kwenye mitandao ya kijamii tu...lakini huko kitaani ambako ndo kuna raia wengi wasiokuwa na uwezo wa smart phone,wanamuelewa zaidi diamond kuliko huyo the so called king!nyimbo za mondi rika zote wanazielewa ila seduce hakika muulize mdogo wako au mtoto wa nyumba ya jirani kama atajua hata mstari mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu muda huu hawataongeza views tena maana wote wamehamia kiakili Nairobi.
Mkuu hiyo Avatar yako kila nikiiona huwa inanifurahisha sana. Natamani ningekuwa na ukaribu na huyo mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…