dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
Endelea kutu seduce dadaHatutaki sababu za sungura hapa....mtaaibika sana pale domo atawapita viewz na ngoma yake mbovu ambayo haina promo wala kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kutu seduce dadaHatutaki sababu za sungura hapa....mtaaibika sana pale domo atawapita viewz na ngoma yake mbovu ambayo haina promo wala kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempangisha kwenu[emoji38]AFU KUMBUKA ILE SHOW WALIISIMAMIA BONGO MOVIES,SO ILIOKUA NI MWENDO WA MAIGIZO TU.
MASKINI KIBA NAYE WAKAMFANYA BONGO MOVIES NA MAIGIZO YA VIEW,KUMBE NDO WAMEMPOTEZA NA CLOUDS WAMEMDAKA JUU KWA JUUU WAKAMTIA KATIKA FIESTA BILA KUJUA NA KWA DAU LILE LIE
KWA STAILI HYO ATAACHA KUENDELEA KUPANGA MIAKA NENDA RUDI
Nitaongoza hiyo sala, Fumba macho. Tunakusihi mtakatifu Mungu wetu uonaye sirini,weweni mtu wa Vita na Bwana ndilo jina lako shuka na ukahukumu kwa haki juu ya wote wataftao kiki na huruma ya jamii,kila mmoja ukamlipe sawasawa na matendo na mawazo yake. Amen.Pray for Lissu
Seduce me imelipiwa vevo kama matangazo mengne ya Hollywood na instagram imekuwa sponsored
Wewe mchawi, ukizeeka unakuwa na matundu 2 kabisa nyuma
Kumbuka pale mashabiki wa mond ndo hao hao mashabiki wa hao madogo zake wa wcb....lkn ni aibu pale wasanii wote wanapokuprome na unaomba msaada kwa mtu mwingne lkn bado tu ambaye hana promo wala kampen anazid kukufukuzia kwa kasi....kwl nimeamin domo ana nguvu kubwa......kila anayenshika mkono anakuwa star na maisha yanamuendea tofauti na king wetu hata mdogo wake tu holla...baraka mwenyew kaona bora ajisepee mapma.Wasanii zaidi ya 5 wakiungana ilibidi kwa siku mbili waae na waliotazama video angalau 7m otherwise sio
Ukweli ambao team vipusa unawauma wanabaki kutuletea sababu ziszo na kichwa wala miguu......rekodi inavunjwa kwa automatically siyo mnatumia nguvu kuuubwa kama kmsukuma mlevi....mara ya kwanza ilikuwa ni gape ya Views laki 8 ikiwa wimbo wa alikiba umetoka masaa 14 kabla ya Diamond na Huku alikiba akiwa na Mwaka mmoja na nusu hajatoa wimbo tofauti na diamond alitoka kutoa wimbo mwezi mmoja nyuma! Huku huku akiwa ana beef na Diamond imepamba moto! Na Seduce me ilikuwa Number one on trending! lakini sasa Ni gape la views Laki 5 na Zilipendwa ipo namba 7 on trending huku seduce me ipo namba 8! nitarudi kucomment hapa baada ya wiki moja! kuna wimbo unapendwa Tanzania
Ndo wimbo wa taifa mtaani japo domo alibugi kuutoa siku moja na utumbo wa kiba, maana alimuongezea kiba attention na sympathy kwa wananch aliniuzi apo tu.Kuna baadhi ya media zinatumia nguvu nyingi kum push kiba na wanasahau kuwa kuna watanzania mil 30 hawajui fb labda waanze kuzunguka mitaani kumtangazaa. Zilipendwa inasumbua balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mondi anafanya promo kwa kulipia matangazo insta na mabango barabarani, nenda mataa mnaz na kamata. Acha chuki kijana kila mtu anatafuta kutoka.kwa namna yakeNaona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila promo wala kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Team kiba wakiwa kazini mambo za ma viewz nn.
Hovyo sana wazee wa mafuvu hamtaki watu wengine watusue hahha relax dudehahaaaaaa,pumzi imekataaaa wametawanyika kama nyumbu,kila mtu na lake.
HAHAHAHAAHAHHHAAA LAZIMA KUTOFAUTISHA ATI YA MSALABA NA KUJUMLISHA,KUNA X NA KUZIDISHAAAAA.
SIMBAAAAAAAAAA
Wapi eneka. Au davido kakomaa na beat yakeWaambie wataje hata hilo jina la nyimbo SEDUCE kama hata wanakumbuka
vyombo vya habari uchwara vyenyewe nao vinaona aibu sasa maana wamepigaaaaaaa ili kuipa kiki aaaahh wapiiii,kwishnei
Relax dude relax please. Nyie endeleen kutusua nyimbo kila wiki mtuburudishe banaAFU KUMBUKA ILE SHOW WALIISIMAMIA BONGO MOVIES,SO ILIOKUA NI MWENDO WA MAIGIZO TU.
MASKINI KIBA NAYE WAKAMFANYA BONGO MOVIES NA MAIGIZO YA VIEW,KUMBE NDO WAMEMPOTEZA NA CLOUDS WAMEMDAKA JUU KWA JUUU WAKAMTIA KATIKA FIESTA BILA KUJUA NA KWA DAU LILE LIE
KWA STAILI HYO ATAACHA KUENDELEA KUPANGA MIAKA NENDA RUDI
Kuchomwa mwachomwa nyie mnaotoa thread za mapovu. Seduce miii ilishhhhhhhhkaHahahaaaa jipe moyo wakati inachoma kama pasi.....mda siyo mrefu mnaenda kuabika na ukeshaji wenu wa youtube.
Kusoma adi kukesha ni kukosa kujiamin....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wcb huwa mnasifiwa sana kwa promo hata mwimbo ukiwa mbaya. Au mshajisahau wazee
Yanaitwa mahaba baaaaba. Mahaba kwa King. Sikujua kama itawaumizaNa nyie hamuoni aibu kuungana mastaaa wote tz na pia kuomba msaada kwa mange awapigie kampeni kupandana na team ya mtu mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
WCB_Wasafi ni brand kubwa siyo kitoto we don't need help wala kampeni ili ngoma zetu ziwe hit......Wcb huwa mnasifiwa sana kwa promo hata mwimbo ukiwa mbaya. Au mshajisahau wazee
Sent using Jamii Forums mobile app