Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

AFU KUMBUKA ILE SHOW WALIISIMAMIA BONGO MOVIES,SO ILIOKUA NI MWENDO WA MAIGIZO TU.
MASKINI KIBA NAYE WAKAMFANYA BONGO MOVIES NA MAIGIZO YA VIEW,KUMBE NDO WAMEMPOTEZA NA CLOUDS WAMEMDAKA JUU KWA JUUU WAKAMTIA KATIKA FIESTA BILA KUJUA NA KWA DAU LILE LIE

KWA STAILI HYO ATAACHA KUENDELEA KUPANGA MIAKA NENDA RUDI
Umempangisha kwenu[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pray for Lissu
Nitaongoza hiyo sala, Fumba macho. Tunakusihi mtakatifu Mungu wetu uonaye sirini,weweni mtu wa Vita na Bwana ndilo jina lako shuka na ukahukumu kwa haki juu ya wote wataftao kiki na huruma ya jamii,kila mmoja ukamlipe sawasawa na matendo na mawazo yake. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara ya kwanza ilikuwa ni gape ya Views laki 8 ikiwa wimbo wa alikiba umetoka masaa 14 kabla ya Diamond na Huku alikiba akiwa na Mwaka mmoja na nusu hajatoa wimbo tofauti na diamond alitoka kutoa wimbo mwezi mmoja nyuma! Huku huku akiwa ana beef na Diamond imepamba moto! Na Seduce me ilikuwa Number one on trending! lakini sasa Ni gape la views Laki 5 na Zilipendwa ipo namba 7 on trending huku seduce me ipo namba 8! nitarudi kucomment hapa baada ya wiki moja! kuna wimbo unapendwa Tanzania
 
Kuna baadhi ya media zinatumia nguvu nyingi kum push kiba na wanasahau kuwa kuna watanzania mil 30 hawajui fb labda waanze kuzunguka mitaani kumtangazaa. Zilipendwa inasumbua balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii zaidi ya 5 wakiungana ilibidi kwa siku mbili waae na waliotazama video angalau 7m otherwise sio
Kumbuka pale mashabiki wa mond ndo hao hao mashabiki wa hao madogo zake wa wcb....lkn ni aibu pale wasanii wote wanapokuprome na unaomba msaada kwa mtu mwingne lkn bado tu ambaye hana promo wala kampen anazid kukufukuzia kwa kasi....kwl nimeamin domo ana nguvu kubwa......kila anayenshika mkono anakuwa star na maisha yanamuendea tofauti na king wetu hata mdogo wake tu holla...baraka mwenyew kaona bora ajisepee mapma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara ya kwanza ilikuwa ni gape ya Views laki 8 ikiwa wimbo wa alikiba umetoka masaa 14 kabla ya Diamond na Huku alikiba akiwa na Mwaka mmoja na nusu hajatoa wimbo tofauti na diamond alitoka kutoa wimbo mwezi mmoja nyuma! Huku huku akiwa ana beef na Diamond imepamba moto! Na Seduce me ilikuwa Number one on trending! lakini sasa Ni gape la views Laki 5 na Zilipendwa ipo namba 7 on trending huku seduce me ipo namba 8! nitarudi kucomment hapa baada ya wiki moja! kuna wimbo unapendwa Tanzania
Ukweli ambao team vipusa unawauma wanabaki kutuletea sababu ziszo na kichwa wala miguu......rekodi inavunjwa kwa automatically siyo mnatumia nguvu kuuubwa kama kmsukuma mlevi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya media zinatumia nguvu nyingi kum push kiba na wanasahau kuwa kuna watanzania mil 30 hawajui fb labda waanze kuzunguka mitaani kumtangazaa. Zilipendwa inasumbua balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo wimbo wa taifa mtaani japo domo alibugi kuutoa siku moja na utumbo wa kiba, maana alimuongezea kiba attention na sympathy kwa wananch aliniuzi apo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila promo wala kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
a2ad20af3f7ef1ffcf0a0b04ad785f7a.jpg

Team kiba wakiwa kazini mambo za ma viewz nn.
Mondi anafanya promo kwa kulipia matangazo insta na mabango barabarani, nenda mataa mnaz na kamata. Acha chuki kijana kila mtu anatafuta kutoka.kwa namna yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AFU KUMBUKA ILE SHOW WALIISIMAMIA BONGO MOVIES,SO ILIOKUA NI MWENDO WA MAIGIZO TU.
MASKINI KIBA NAYE WAKAMFANYA BONGO MOVIES NA MAIGIZO YA VIEW,KUMBE NDO WAMEMPOTEZA NA CLOUDS WAMEMDAKA JUU KWA JUUU WAKAMTIA KATIKA FIESTA BILA KUJUA NA KWA DAU LILE LIE

KWA STAILI HYO ATAACHA KUENDELEA KUPANGA MIAKA NENDA RUDI
Relax dude relax please. Nyie endeleen kutusua nyimbo kila wiki mtuburudishe bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom