Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Uzi wa motooooo naona unatapatapa tu kama umekula tonge la moto.....pamoja na promo na kampen lote hilo jmn wimbo bado una view 4M mmmh aisee nakumbuk salome ndani wa week kama moja iv ilikuwa na 10M viewz bila nguvu kutoka nje.....je ingefanyiwa kampeni sasa kama ile ilofanywa kwa seduce me, si ingekuwa noma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbeeeeee sasa povu la nini baabaa kama mshawah fikisha idadi yote hiyo. Hapo ndipo ninapowashangaa team domo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team kiba huwa nawafananisha na wanafunzi wenye uwezo mdogo darasan yaani bila booster na kukesha shule haiendi. Ndo nyie sasa mmekeshaaa weeeeee ili tu muonekane mna nguvu lkn wapi kanyimbo kamejifia pamoja na kampen lote hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaa kama umekufa thread ya nini team domo. By the way wiki hii vipi hamtoi nyingine??? Halaf msisahau kubadilisha mabango barabarani, ule wa tiwa savage umekaa sana bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa tandale chuki zenu huwq hazijifichi kuanzia kwa rais wenu hadi wafuta viatu. Mahaba kwa kiba yanawapagaisha haaaahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kama mond angekuwa na chuki sizani kama leo tungekuwa na mtu kama harmonize, rayvanny, queen darling alikuwa kashaisha lkn now kamtengeneza tena demu anapiga mkwanja kwa kwnd mbl....ila li domo bhana lina nyota ya ajibu achabti watu walichukie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu pale msanii unayejiita king kuomba sapoti kwa watu wenye chuki na adui yako wakupromote ili upambane naye.......nasikia alimlilia mange kimambi akimuomba amfanyie kampeni maana maji yalikuwa ya shingo......mastaa wote waliungana kina wema jokate lulu na malaya wote wa mtandaoni wenye majina kupigana na jeshi moja la wcb tu....na bado hari ni mbaya........ni kama marekani anavowaomba vibaraka wake kwnd kupigana na NK.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umesikia..oh ohhhhhh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo mkubwa bwana pamoja na viriba vyenu na majungu lkn kila anayemshika mkono anakuwa star.....kiba hata mdogo wake tu kashindwa kumtngenezea jina.....harmonize kaja juzi tu lkn ni talk of the town.......kumlilia mange kimambi akufanyie kampeni ni aibu kubwa sana kwa msanii unayejiita king na unakubalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu ana majungu kama nyie. Mlichokoza mzinga wa nyuki sasa mnalialia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaahaa kama umekufa thread ya nini team domo. By the way wiki hii vipi hamtoi nyingine??? Halaf msisahau kubadilisha mabango barabarani, ule wa tiwa savage umekaa sana bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikakwambia wcb n brand kubwa siyo kitoto we use ower own power kupushi nyimbo na project zetu....hatulilii misaada kutok nje tunakufa kiume hatuhitaji kufanyiwa kampen ili project zetu zitusue,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ukisahau kuwa mashabik wa hawo madogo wa wcb ndo hao hao wa mond.....uku akili yako inakuwa ndogo kuwazua kuwa msanii wako anafnyiwa kampeni na mtu kama mange ambaye ana ushawish mkubwa kwny social media mtu kama wema, jokate, lulu, na wengne wenye majina na ushawish mkubwa kupambana na team mojabtu ya wcb na bado unakimbzwa hiv hujifikirii kuwa huwo ni ujinga wa kiwango cha lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhhhh kumbe mashabiki wa domo ndio wa kina rich oh oh, poleni sana. Sasa hapo umenena sawiaa team wcb vs team kiba inayojumuisha mange na kina lulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nikakwambia wcb n brand kubwa siyo kitoto we use ower own power kupushi nyimbo na project zetu....hatulilii misaada kutok nje tunakufa kiume hatuhitaji kufanyiwa kampen ili project zetu zitusue,

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli team inayolipia matangazo ili watu waingie you tube[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohhhhh kumbe mashabiki wa domo ndio wa kina rich oh oh, poleni sana. Sasa hapo umenena sawiaa team wcb vs team kiba inayojumuisha mange na kina lulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mange ana team yake jokate ana team yake wema ana team yake tena ni strong team zenye ushawish zinaungana na team kiba kupigana na team wcb.....yaani ni kama yanga aungane na azam, mbeya city, stand utd, mbao fc kucheza na na simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau point moja. Zilipendwa wameungana wasanii wanne huku seduce me akiwa mmoja. Unganisha mashabiki wa wanne na mmoja. Ukirud tuambie mmetumia muda gani kumpiku jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

unakosa kitu kimoja! na ninataka nikwambie wewe na wenye mawazo kama yako! ukisema eti wasanii wa 4 sijui 6 hiyo ni weak point! WCB ile ni lable na ni kama kundi la mziki tayari so always asilimia 99.999999 wanashare mashabiki huo ndio ukweli na hilo halipingiki alie mfollow Diamond ndio kamfollow Harmonize kamfollow mavoko na wengine! Tofauti ni ndogo kuwa diamond ni international zaidi ndio maana wasanii wake wanapata exposure internationally! Show nyingi za vijana hawa za nje ya nchi ni sababu ya Diamond! acha hizo point zako eti watu wa 4! BY THE WAY TUNAWATAKIA MIZUNGUKO SALAMA YA FIESTA wasanii watafuta Show Dar
 
Back
Top Bottom