Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

Inawezekana ila mpka binti akaguliwe kama anabikra ila kama bikra hana hapo lazima aonjwe tu , hakuna la kufanya zaidi ya hapo
 
Mazingira ya zan na sasa sio sawa. Zman binti na kijana walikuwa wapo chini ya uangalizi wa wazazi na wazee wao had wanapoitaji kuanzisha familia na ndoa zao zilikuwa nizamapema (baada ya kijana kubarehe na binti kuvunja ungo) ila hiv sasa imekuwa changamoto maana kwa asilimia kubwa watu wanalelewa na mitandao, hawana hofu ya Mungu tena, ndoa na tendo la ndoa hazina thaman, mmomonyoko wa maadiri, nk

Tumeacha asili yetu tukakumbatia vyakuja tukihisi ni bora kuliko vyetu.
 
Inawezekana mkuu, mbona miniliweza..😊
 
Nyie mapastor kazi zenu ni kumtumikia Mungu, hizi mambo za kidunia nakushauri achana nazo maana zinaweza kukuchelewesha kuuona ufalme wa mbinguni.
Tunamtumikia Mungu kwa wanadamu wake na hatumiki Mbinguni na hapa tunatoa mafundisho juu ya kushinda dhambi ya uzinzi.Asante
 
Hivi Ni mkweli mtu akiwa Mkatoliki Safi anashinda dhambi ya uzinzi?yupi Ni Mkatoliki mchafu?
 
Mtu akikunyima kikojoleo, ujue ana kasoro, ndomaana hajiamini, anadhani ukiijua hiyo kasoro utamuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…