Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

Mimi ni kati ya wadau niliyeoa ndipo nikashirikiana na mke wangu. Na hii yote iliwezekana na kuwa na mahusiano na Mungu aliyenipa ujasiri wakujitunza na kuoa then kushiriki tendo la ndoa.

Swali:
Wanadamu wanakwama wapi kwa Sasa maana tukiweka pembeni wokovu nilionao wazee wetu zamani hawafanyi tendo mpaka waoane na walikuwa wanaoana wote mabikira mke bikira na mme bikira.


Karibuni...
Inawezekana ila mpka binti akaguliwe kama anabikra ila kama bikra hana hapo lazima aonjwe tu , hakuna la kufanya zaidi ya hapo
 
Mazingira ya zan na sasa sio sawa. Zman binti na kijana walikuwa wapo chini ya uangalizi wa wazazi na wazee wao had wanapoitaji kuanzisha familia na ndoa zao zilikuwa nizamapema (baada ya kijana kubarehe na binti kuvunja ungo) ila hiv sasa imekuwa changamoto maana kwa asilimia kubwa watu wanalelewa na mitandao, hawana hofu ya Mungu tena, ndoa na tendo la ndoa hazina thaman, mmomonyoko wa maadiri, nk

Tumeacha asili yetu tukakumbatia vyakuja tukihisi ni bora kuliko vyetu.
 
Inawezekana mkuu, mbona miniliweza..😊
 
Nyie mapastor kazi zenu ni kumtumikia Mungu, hizi mambo za kidunia nakushauri achana nazo maana zinaweza kukuchelewesha kuuona ufalme wa mbinguni.
Tunamtumikia Mungu kwa wanadamu wake na hatumiki Mbinguni na hapa tunatoa mafundisho juu ya kushinda dhambi ya uzinzi.Asante
 
Inawezekana kwa mambo yafuatayo:
1. mazingira uliyokulia mfano nchi za uarabuni huko hakuna ngono zembe;

2. imani yako kwa Mungu (ukiwa mkatoliki safi unajikuta tu hauja fanya uasherati mpaka unaoa);

3. ukifungwa ukiwa kijana kabla haujafanya uasherati utajikuta uko tu gerezani unakomaa tu na nyege zako; na

4. ukiwa domo zege kazi yako ni kupiga chaputa tu mpaka ndoa.
Hivi Ni mkweli mtu akiwa Mkatoliki Safi anashinda dhambi ya uzinzi?yupi Ni Mkatoliki mchafu?
 
Huo upuuzi siwez kufanya

Na kamwe siwez mshaur mtu yeyote aufanye, iwe ni wakike au wakiume.

Majuto yake Ni makubwa mno,
Bora kutest mitambo ujue yaliyomo yamo au umepigwa kitu kizito.

Na hata pia maagizo ya mungu yanatuasa kabisa,
Tutafute wa kufanana nasi, ukikaidi agizo la mungu shauri zako yakikukuta.[emoji4]
Mtu akikunyima kikojoleo, ujue ana kasoro, ndomaana hajiamini, anadhani ukiijua hiyo kasoro utamuacha.
 
Back
Top Bottom