Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

Pastor Silla

Senior Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
162
Reaction score
166
Mimi ni kati ya wadau niliyeoa ndipo nikashirikiana na mke wangu. Na hii yote iliwezekana na kuwa na mahusiano na Mungu aliyenipa ujasiri wakujitunza na kuoa then kushiriki tendo la ndoa.

Swali:
Wanadamu wanakwama wapi kwa Sasa maana tukiweka pembeni wokovu nilionao wazee wetu zamani hawafanyi tendo mpaka waoane na walikuwa wanaoana wote mabikira mke bikira na mme bikira.

Karibuni...
 
Anaekwambia usubiri baada ya ndoa ni bikra? Kama si bikra kwanini wengine aliwapa bila ndoa ila iwe kwako tu??

Na ikitokea wewe mwanaume ndo unakataa kumtomber kwa kigezo cha kusubiri ndoa wakati yeye kitambo tu anapigwa shoo, basi ujue ataset jamaa fulani ka kumpiga mpupu wakati anasubiri ndoa yako.

Na baada ya kufunga ndoa akihundua kuwa una shoo mbovu, ataipeleka nje ikashughulikiwe.
 
Ungemuuliza mzee wako yeye alikuta sealed? nyakati zimebadilika we jamaa shtuka, watu hawataki kuuziwa mbuzi kwa gunia
 
Inawezekana kwa mambo yafuatayo:
1. mazingira uliyokulia mfano nchi za uarabuni huko hakuna ngono zembe;

2. imani yako kwa Mungu (ukiwa mkatoliki safi unajikuta tu hauja fanya uasherati mpaka unaoa);

3. ukifungwa ukiwa kijana kabla haujafanya uasherati utajikuta uko tu gerezani unakomaa tu na nyege zako; na

4. ukiwa domo zege kazi yako ni kupiga chaputa tu mpaka ndoa.
 
MKUU ZAMANI MTU ALIKUWA ANA UHAKIKA WA KUPATA GARI MPYAAAAA

KWA SASA GARI ZENYEWE ZIMETEMBEA KM KIBAO TU UNATAKA TUNUNUE BILA YA KUIJARIBU KWELI???
Hata wakati yapo kwenye meli kutoka Japan kuna midereva huwa inaendelea kupiga stata tu
 
FB_IMG_16459426912082911.jpg
 
Wakati huo hutaki kuoa ila kunishughulikia
Wakukuoa si anakuwepo ambae ndo huyo jamaa ambae hataki kukushughulikia mpaka muoane?? Kwahiyo kwakua hauwezi kusubiri bila 🍆, mimi sasa ndo inakuwa kazi yangu hiyo ili usimsumbue jamaa.
 
Huo upuuzi siwez kufanya

Na kamwe siwez mshaur mtu yeyote aufanye, iwe ni wakike au wakiume.

Majuto yake Ni makubwa mno,
Bora kutest mitambo ujue yaliyomo yamo au umepigwa kitu kizito.

Na hata pia maagizo ya mungu yanatuasa kabisa,
Tutafute wa kufanana nasi, ukikaidi agizo la mungu shauri zako yakikukuta.[emoji4]
 
Mbona Wakatoliki ndio wanaongoza kufanya tendo kabla ya ndoa?Hao Wakatoliki wa eneo gani?
 
Back
Top Bottom