Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima

Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike;

Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana juzi usiku

Wana vikoba: Kwanini?

Mama mmoja: Mimi na mume wangu uwaga hatuzimi taa, sasa jana tuko bize mara umeme huooo ukakatika, stimu ikashuka, tukajaribu kununua umeme kwa simu ukakataa basi na shoo ikaisha. Mpaka sahivi nipo na maupwiru hata kazini sijaenda nimenunaje?

Swali:
Je, tendo la ndoa haliwezi fanyika mpaka umeme uwake?
 
Huyo mama alikuwa changudoa,
Mwanamke aliyelelewa vyema na kufundwa atatoaje siri za chumbani hadharani??!!🤔
 
Huyo mama alikuwa changudoa,
Mwanamke aliyelelewa vyema na kufundwa atatoaje siri za chumbani hadharani??!!🤔
Mbona wanaume mnatoaga mkiwa bar, nyie wanaume tuwaiteje?!
 
Back
Top Bottom