Je, tetesi kwamba matokeo ya uchaguzi uliomalizika Simba Sc yanachangia kuathiri uwezo wa timu uwanjani, zina uzito kiasi gani?

Uchawi una nafasi katika mpira duniani. Sio Tz au Africa pekee.

Porto wameajiri mganga huko na yuko kwenye payroll ya timu.
Ni baada ya Benfica misimu iliyopita kuajiri mganga halafu wakachukua ubingwa.

Porto wakasema usitutanie. Ulaya hiyo.
Mawazo ya kimaskini,tangu wa akili,afya na mali😂
 
Nchi ina wajinga wengi sana hii
 
Hapa ndipo nilipokuwa napatafuta, kwamba tunakubaliana makundi yapo, na yana nguvu kufanya mambo nje ya uwanja yanayopelekea kuvuruga performance ya timu uwanjani, muhimu viongozi wa Simba Sc wayatambue hayo makundi na viongozi wao ili warekebishe mambo haraka.

Hawa watu wanadhani wanatukomoa kumbe wanatuumiza tusiohusika, visasi vyao ni vyema watafute pakuvipeleka, sio kwa timu uwanjani, na wachezaji wanaotumika kwenye haya mambo nao watafutwe, kwangu hao ni sawa na wahujumu uchumi tu.
 
Kwanza tuanze na hili, hivi vongozi wa Sikba Sc wamewahi kumwambia Mo wanamtaka mchezaji fulani akagoma kuwapatia kwa kigezo cha kutokuwa na pesa?

Huyu Mo tusijekuwa tunamlaumu tu bila sababu, na hata kama walimwambia akashindwa kuwapatia waliyemtaka kwa sababu tofauti, je, walikuwa na chaguo la pili ambalo nalo Mo alishindwa kuwapatia?
 
Nchi ina wajinga wengi sana hii
Kuna mambo chini ya kapeti ambayo yanaweza kuwepo wewe unaleta ujuaji wa kindezi kumbe ndie mjinga mwenyewe, hapa unatafutwa ukweli wa jambo, soma comment za wengine ufunguke hiyo akili mgando uliyoifungia kabatini.
 
Victor adebayor, Aziz key, Manzoki na Yule kibibi wake Babra kutwa sialikuwa anashinda mitandaoni kuwaaminisha Simba kuwa hakuna mchezaji anaweza kutokusajriwa na Simba!.
 
Kuna mambo chini ya kapeti ambayo yanaweza kuwepo wewe unaleta ujuaji wa kindezi kumbe ndie mjinga mwenyewe, hapa unatafutwa ukweli wa jambo, soma comment za wengine ufunguke hiyo akili mgando uliyoifungia kabatini.
Kati ya wachezaji kuna mojawapo aliyekuwa mgombea wa uchaguzi kiasi cha kuiumizwa na matokeo akashindwa kuperform uwanjani ?
 
Sio inawezekana huko kukosa nafasi nyingi za wazi kwa mchezaji ndio nguvu ya ushawishi toka nje inakuwa imefanya kazi yake?
tatizo la kukosa magoli mechi muhimu lilianza tangia msimu uliopita mpaka msimu huu Boco na Mugalu kabla hata uchaguzi wa juzi.hapo akuna ushawishi bali ni uwezo wa wachezaji umefika mwisho.
 
Wale mabosi wa Vipers nao kuna wakati niliwaona kama walitufanyia figisu makusudi kwasababu Manzoki alionesha kuitaka sana Simba Sc.
mpira biashara wapo sawa walikua wanataka mshiko, hata kama mchezaji kabakisha wiki moja kumaliza mkataba ukimtaka unaweka mzigo mezani.

Mo ndo tatizo la msingi kubali kataa.
 
Kuna mambo chini ya kapeti ambayo yanaweza kuwepo wewe unaleta ujuaji wa kindezi kumbe ndie mjinga mwenyewe, hapa unatafutwa ukweli wa jambo, soma comment za wengine ufunguke hiyo akili mgando uliyoifungia kabatini.
Bro unaspeculate sana kila saa unakuja na nyuzi za Simba au unalipwa huko ionekane Simba kuna matatizo ?

Kwani timu kufungwa limeanza leo ?
 
ni upuuzi
 
Bro unaspeculate sana kila saa unakuja na nyuzi za Simba au unalipwa huko ionekane Simba kuna matatizo ?

Kwani timu kufungwa limeanza leo ?
Unaogopa nini kujadili haya mambo?

Kujua chanzo cha tatizo ndio mwanzo wa ku solve, acha uoga wa kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…