Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Huwa wanatoa sana tuuu mbonaas.....TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na utamaduni huo.
Waache kujikita kwenye michezo wajihusishe pia na jamii kwenye mambo Mtambuka
R.I.P rais wa awamu ya Tano Edward Lowasa
Kuna Watu kulalamika ni jadi yao hata bila utafitiHuwa wanatoa sana tuuu mbonaas.....
Wewe ni mmoja kati ya wajinga wanaofhusha hadhi ya JF.R.I.P rais wa awamu ya Tano Edward Lowasa
Mods mbona mnatuchanganya, kwani Simba na Yanga ni vyama vya siasa ua uoga wenu?TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na utamaduni huo.
Waache kujikita kwenye michezo wajihusishe pia na jamii kwenye mambo Mtambuka
R.I.P rais wa awamu ya Tano Edward Lowasa
Mabumunda sio kwenye mawizara tu, hata JF yapo. Kibaya zaidi ya JF yako Kama supu ya utumbo, yaani yakoKuna Watu kulalamika ni jadi yao hata bila utafiti