Je, the Simpsons wanatabiri matukio yajayo?

Je, the Simpsons wanatabiri matukio yajayo?

The Simpsons ni watoto wa Pdidy
Heshima kwenu wote.

Kuna jambo nimeliona katika pita pita za mtandaoni kuhusu katuni ya Simpsons, kuhusu kutabiri matukio ya jayo katika episode zake.

Jambo ambalo nimeliona wametabiri limenishtua zaidi ni Tramp. Kurudi tena madarakani

Kama kuna mtu ana fahamu zaidi kuhusu The Simpsons tufahamishane katika hili.

View attachment 3112353
 
Ndiyo, wenyewe wana sema hivyo sasa sijuwi wana jenga nini
 
Tatizo ni kwamba, wakitabiri vitu 1,000, halafu 999 visiwe kweli na 1 kikawa kweli, utasikia kuhusu kile kimoja kilichokuwa kweli tu, hutasikia vile vingine 999 ambavyo havikuwa kweli.
naam naam
 
Back
Top Bottom