Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

Thesis/dissertation defense inapaswa iwe public ili wasomi wengine wajifunze(wanafunzi wenzako na wakufunzi).

Hata hivyo tafiti yako itachapishwa kwenye majukwaa amabapo mtu yeyote anaweza kusoma. Vyuo vikubwa kama Stanford, UC Berkeley na MIT wanaziweka wazi, kwanini sisi tusiweke?
Mkuu kwa Tanzania na Afrika ni ngumu kwa sababu wengi hizo PhD ni cha michongo, research ambazo hazina msaada hata kidogo kwa taifa. Unadhani Bongo kuna PhDs wangapi ila ukikutana nao wanazungumza na kufanya reasoning kama mtoto wa darasa la 4 kabsa.

Inshort ni vyuo vichache vinaweza kuweka thesis defense mubashara, wanajua kuwa watu watachallenge.
 
Defense zinakuwa mubashara!?
Huu ni baadhi ya uthibitisho
Screenshot_20250923-225737.jpg
Screenshot_20250923-225737.jpg
Screenshot_20250923-225648.jpg
20250923_224556.jpg
20250923_224736.jpg
20250923_224507.jpg
 
Back
Top Bottom