BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Airtel pia hata ya Kiswahili. Kuna mambo mengi yanapigwa marufuku kimya kimya.Habari zenu wana jukwaa?
Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.
Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.
Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.
Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
mkuu ulikuwa unaomba hela? 😂 😂 😂Hilo nimeliona kwangu pia 1 week ago neno hela msg haiendi
Ndo hapo sasa, hawaangalii hata neno umelitumiaje wao wanapiga pin msg nzimaMmmh hii mpya mbona
Sasa kama ulimaanisha jinsia?
So hata ukiandika 'Hey baby, what is the sex of the child?
Mkuu hii ni kweli. Jana nimechat sana na Bebe, kuna text nikawa nimeandika ikiwa romantic, nikashangaa haiendi. Nikaicopy na kuituma upya haikwenda. Nikaandika kitu kingine nikatuma kikaenda. Nikairudia ileile message kuituma haikwenda pia. Ikabidi niisome upya. Nikaedit nilipoandika neno sexy, nikatumia neno jingine ikaenda.Habari zenu wana jukwaa?
Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.
Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.
Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.
Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
Tumia VPNHii mpya.
Naona hujasoma uzi wangu hadi mwisho, shida ni kwamba nikibadili sim card nikatumia voda au halotel msg zinaenda kwa simu hii hii. Naingekuwa ni keyboard nadhani hata hapa lizingeandikikiaShida ni keyboard yako umeiset iweze kublock "Offensive words" na hilo neno "Sex" utakuwa umeliinclude among offensive words..
Kwahiyo keyboard ndio inazuia msg zisiende?Shida ni keyboard yako umeiset iweze kublock "Offensive words" na hilo neno "Sex" utakuwa umeliinclude among offensive words..
Kwa airtel kwangu naandika kila kitu.Airtel pia hata ya Kiswahili. Kuna mambo mengi yanapigwa marufuku kimya kimya.