Je Tigo wanafanya sensorship kwa baadhi ya maneno kwenye msg tunazotuma?

Habari zenu wana jukwaa?

Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.

Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.

Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.

Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
Hili lipo mda sana... mfano meseji ya "tuma hela kwenye namba hii" txt yenye hayo maneno haiendi.
 
Habari zenu wana jukwaa?

Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.

Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.

Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.

Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
Hata airtell iko hivyo tangu mwaka uanze huu kuna baadhi ya maneno ukiweka sms haiendi
 
Hao tigo washamba, tuu sasa neno "Sex" linashida gani.
Nchi hii ina watu wajinga na wapuuzi sana.

Wameshindwa kuzuia wezi wa mitandaoni wanakuja kudeal na vitu ambavyo havina madhara.
 
Habari zenu wana jukwaa?

Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.

Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila mpaka ulibadili usiliandike kwa uhalisia wake ndo inakuwa delivered.

Nasema tigo ndo wanafanya hivi sio simu yangu maana nikibadili sim card nikiandika hilo neno nikatuma linakuwa delivered.

Wakuu kuna mwingine anapitia hili tatizo, plz share.View attachment 2810421
huyo unayechati naye ndo kablock hilo neno mkuu
 
Back
Top Bottom