Je Tigo wanafanya sensorship kwa baadhi ya maneno kwenye msg tunazotuma?

Hili lipo mda sana... mfano meseji ya "tuma hela kwenye namba hii" txt yenye hayo maneno haiendi.
 
Hata airtell iko hivyo tangu mwaka uanze huu kuna baadhi ya maneno ukiweka sms haiendi
 
Hao tigo washamba, tuu sasa neno "Sex" linashida gani.
Nchi hii ina watu wajinga na wapuuzi sana.

Wameshindwa kuzuia wezi wa mitandaoni wanakuja kudeal na vitu ambavyo havina madhara.
 
huyo unayechati naye ndo kablock hilo neno mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…