Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Tin Ni ya biasharaMimi siyo mtaalamu wa kodi! Ila katika hilo, naamini haiwezekani. Maana TIN ya kuombea leseni haitambuliki kwenye masuala ya biashara.
Hapana kwannUnataka kujipeleka polisi
Tafadhali nijibu swali husika itapendezaKweli kitengo cha Elimu Kwa Mlipa Kodi kinahitaji kupewa nguvu, maana seems tuna tatizo kubwa la Uelewa wa mambo ya Kodi, ndiyo maana sio ajabu kubambikiwa Kodi
TIN number ni namba ya utambulisho wa Mlipa Kodi, ambayo hata uwe na biashara mia mbili, ndogo, kubwa, za kati bado utaendelea kutumia namba hiyo hiyo ya Mlipa Kodi (TIN)
Ndiyo maana hata watumishi wa Umma Siku hizi Wana TIN number, kwamaana nao hulipa Kodi Kila mwisho wa Mwezi kupitia makato kwenye Mishahara yao.
Kwa hayo maelezo yako, unatakiwa kwenda TRA ili ukapate mwongozo.Hii Tin Ni ya biashara
Ndiyo inaweza kutumika kutolea mzigo, japo mara nyingi hapo bandarini Kuna Kampuni zinazofanya kazi ya clearances Kwa niaba ya mteja ambapo uta-submit hiyo Tin number kwaajili ya kuangalia the owner wa mzigo lakini pia kulipa Kodi stahikiTafadhali nijibu swali husika itapendeza