Je TISS haina weledi wa upataji wa taarifa au sio majukumu yake?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama?

2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama?
Kwa hali hii je kweli nchi iko salama? Hii idala ya ujasusi inakwama wapi?
 
Kumbuka hiyo ni kama vita kila kindi linajitahidi kuficha utambulisho wake kadri liwezavyo kiasi kwamba taarifa zinaweza zisifike kwa wakati. Hata zikifika zinaweza kuwa hazijitoshelezi.

Ikishafahamika kuna mwanaume ana chuma mahala fulani anafanya kweli si kitu cha kupeleka bichwa lako bila kujipanga ati kwa kuwa wewe ni afisa usalama au polisi unaweza liwa kichwa ukaacha bia 🍺 na watoto wazuri wazuri.
 
😀😀😀
 
ngoja waje tiss ,kazi yao ni kuwatisha raia"unajua unaongea na nani"kwenye ma bar na kuchomekea magari kisha wakupe kesi ya traffic kisha wakuhukum wenyewe.

nchi ngumu sana hii
 
Chukua sheria mkononi.
Vyombo vya dola vimewashindwa.
 
Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama?

2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama?
Kwa hali hii je kweli nchi iko salama? Hii idala ya ujasusi inakwama wapi?
Siraha za aina gani mkuu
 
Acheni kuamini kila Kitu akisemacho Dalali wa Vyama vya Upinzani na Siasa za Tanzania.

Kategwa kwa Kulishwa Taarifa za Uwongo ili baadae aje Kuumbuka vibaya kwa Waliokuwa wakimuamini.
 
Back
Top Bottom