😀😀😀Kumbuka hiyo ni kama vita kila kindi linajitahidi kuficha utambulisho wake kadri liwezavyo kiasi kwamba taarifa zinaweza zisifike kwa wakati. Hata zikifika zinaweza kuwa hazijitoshelezi.
Ikishafahamika kuna mwanaume ana chuma mahala fulani anafanya kweli si kitu cha kupeleka bichwa lako bila kujipanga ati kwa kuwa wewe ni afisa usalama au polisi unaweza liwa kichwa ukaacha bia 🍺 na watoto wazuri wazuri.
Siraha za aina gani mkuuIdara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama?
2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama?
Kwa hali hii je kweli nchi iko salama? Hii idala ya ujasusi inakwama wapi?
Nimefanyeje tena Mzanaki na Mmakuwa Mimi?
Acheni kuamini kila Kitu akisemacho Dalali wa Vyama vya Upinzani na Siasa za Tanzania.Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama?
2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama?
Kwa hali hii je kweli nchi iko salama? Hii idala ya ujasusi inakwama wapi?
Kuna vitu inabidi utolee maelezo hapa mkuuNimefanyeje tena Mzanaki na Mmakuwa Mimi?
KabisaAcheni kuamini kila Kitu akisemacho Dalali wa Vyama vya Upinzani na Siasa za Tanzania.
Kategwa kwa Kulishwa Taarifa za Uwongo ili baadae aje Kuumbuka vibaya kwa Waliokuwa wakimuamini.