Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

Kiongozi kwa nini usipande kidogo ukae ndani ya Spacio...?
Hii kwa nafasi hata ukiamua kuweka kitanda..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nashkuru sana Diana. Mi najua una nia njema sana dada yangu ila unanifanya nisielewe cha kufanya, maana wengine wananitia moyo wewe unanipa ukweli mchungu sasa najikuta nipo katikati. Mwishowe ela yenyewe NTAILA sasa[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Ongezea ongezea mkuu mwaya uchukue SUV
Asante sana. Kwa SUV, nnayoweza kuifikiria kwa haraka ni Rav4 1999 au Prado 1997 ushawai kuitumia yoyote ushee uzoefu.

Au kama unazijua Suv nyingine ambazo ni cheap maintainance and fuel consumption ntashukuru sana ukini-suggestia ila isiwe harrier, limenikalia kushoto sana lile gari.
 
Kiongozi kwa nini usipane kidogo ukae ndwni ya Spacio...?
Hii kwa nafasi hata ukiamua kuweka kitanda..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Asante sana kwa ushauri ndugu. Nimeamua nitafute SUV za bei rahisi tu. Ntashukuru kama utanisuggestia yoyote ile ila tu isiwe Cami wala harrier. Mimi saa hizi ambazo zipo kwenye akili yangu ni rav4 1999 au prado 1997.
 
Asante sana. Kwa SUV, nnayoweza kuifikiria kwa haraka ni Rav4 1999 au Prado 1997 ushawai kuitumia yoyote ushee uzoefu.

Au kama unazijua Suv nyingine ambazo ni cheap maintainance and fuel consumption ntashukuru sana ukini-suggestia ila isiwe harrier, limenikalia kushoto sana lile gari.
Nna SUV lkn sio Toyota...Na mi Toyota zimenikalia kushoto balaa

Btw, hutaki kudrive tako la nyani weye?

Hizo hizo ndo zimeshuka bei now, 16 million unakamata mnyama, huoni mjini zimekuwa sare sare maua [emoji28][emoji28]
 
Asante sana kwa ushauri ndugu. Nimeamua nitafute SUV za bei rahisi tu. Ntashukuru kama utanisuggestia yoyote ile ila tu isiwe Cami wala harrier. Mimi saa hizi ambazo zipo kwenye akili yangu ni rav4 1999 au prado 1997.
We una kiasi gani mkononi?

Gari kubwa bila kuanzia 17m na kuendelea labda kama unanunua kwa mtu, lkn Japan cheiiiii
 
We una kiasi gani mkononi?

Gari kubwa bila kuanzia 17m na kuendelea labda kama unanunua kwa mtu, lkn Japan cheiiiii
Dada angu, mimi naweza kujipiga piga mpaka kwenye milioni 17, ila tu sipendi harrier. Niambie gari unalotumia ili na mimi nianze kulizingatia nikalisakanye kwenye mitandao yao ya kuuza magari
 
images (8).jpeg
images (8).jpeg
Chukua tu mkuu usiogope!
 
Shule bado hazijaanza kuchanganya. Maswali mengine ni very childish. IST zipo nyingi nenda kajaribu.hata hiyo unayotaka kuinunua unapanda unajaribu.sisi uje uulize maswali yenye maana.

Urefu wako ni miguu ndio mirefu au ni kuanzia kiunoni kwenda juu?

Ila ukivuta kiti hadi mwisho unakaa kiroho safi.
 
Mbina Mademu SHORT CHASSIS unachukua ,huwa unatosheaje?
Tuanzie angalau hapo.
Ushauri wa Ist unakuja kwa udhamini wa watu North Korea
 
“Tatizo mie mrefu wa 6.1 feet,” mkuu kwa hii kaulo yako omba ladhi kwanza kwa sisi warefu kwa kwamba urefu huo ni tatizo?! We jamaa wa wapi wewee
 
Hapo mkuu kama una 17 chukua RAV 4 killtime, subaru forester 2007, Nissan Dualis, zote unapata kwa bei hiyo
Dada angu, mimi naweza kujipiga piga mpaka kwenye milioni 17, ila tu sipendi harrier. Niambie gari unalotumia ili na mimi nianze kulizingatia nikalisakanye kwenye mitandao yao ya kuuza magari
 
Nna SUV lkn sio Toyota...Na mi Toyota zimenikalia kushoto balaa

Btw, hutaki kudrive tako la nyani weye?

Hizo hizo ndo zimeshuka bei now, 16 million unakamata mnyama, huoni mjini zimekuwa sare sare maua [emoji28][emoji28]
hz gari sio sare sare maua bali ni uniform ya daslam yaan kila mtu analo yaan idad ya harrier inaelekea kuzidi ist hapa town
 
Unamzidi urefu Mr Bean? Ushaona kagari kake anakoenjoi?

Kama hutoshi basi nunua powertiller au Fiat Mbaula uendeshe umesimama kabisa!!!
 
Habari za saa hizi members wa forum ya magari.

Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu.
I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua yenye cylinder ya 1300)
II. Nimeambiwa Haichemshi kwa safari za Dar - Moshi...
Si umpe dereva uber 10000 ufanye test drive mwenge hadi makumbusho uone
 
IST ni gari inayomfaa Mwanamke tena student, mwanaume hata kama ni mfupi unayefit kwenye seat na sterling wheel jiongeze kidg ununue gari kubwa kiasi na iliyopo juu
 
hz gari sio sare sare maua bali ni uniform ya daslam yaan kila mtu analo yaan idad ya harrier inaelekea kuzidi ist hapa town
Mbona ishazidi idadi ya IST?

Naona huu ujinga wa sare sare umepelekwa mikoani[emoji848]

Tatizo Mjapan hizi nyanya kazishusha bei sana, sijui ndo hiyo ubovu wa gearbox naosikia kwa wenyenazo
 
IST ni gari inayomfaa Mwanamke tena student, mwanaume hata kama ni mfupi unayefit kwenye seat na sterling wheel jiongeze kidg ununue gari kubwa kiasi na iliyopo juu
Umemaliza mkuu[emoji119][emoji119]
 
Mbona ishazidi idadi ya IST?

Naona huu ujinga wa sare sare umepelekwa mikoani[emoji848]

Tatizo Mjapan hizi nyanya kazishusha bei sana, sijui ndo hiyo ubovu wa gearbox naosikia kwa wenyenazo
noma sana
 
Naona ulisahau kidogo kusoma maelezo ndugu. Nimeshaeleza, kwa watu ninaowafahamu hakuna anaetumi ist. Wengi wao wanatumia subaru forester. Ambayo mimi kwa upande wa mafuta kitanishinda hiko chombo
Nenda car wash zimejaa tele. Ukimwomba mwoshaji au mmiliki utaweza kupata majibu ya baadhi ya maswali yako.
 
Back
Top Bottom