Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Nashkuru sana Diana. Mi najua una nia njema sana dada yangu ila unanifanya nisielewe cha kufanya, maana wengine wananitia moyo wewe unanipa ukweli mchungu sasa najikuta nipo katikati. Mwishowe ela yenyewe NTAILA sasa[emoji23]
Asante sana. Kwa SUV, nnayoweza kuifikiria kwa haraka ni Rav4 1999 au Prado 1997 ushawai kuitumia yoyote ushee uzoefu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ongezea ongezea mkuu mwaya uchukue SUV
Asante sana kwa ushauri ndugu. Nimeamua nitafute SUV za bei rahisi tu. Ntashukuru kama utanisuggestia yoyote ile ila tu isiwe Cami wala harrier. Mimi saa hizi ambazo zipo kwenye akili yangu ni rav4 1999 au prado 1997.Kiongozi kwa nini usipane kidogo ukae ndwni ya Spacio...?
Hii kwa nafasi hata ukiamua kuweka kitanda..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nna SUV lkn sio Toyota...Na mi Toyota zimenikalia kushoto balaaAsante sana. Kwa SUV, nnayoweza kuifikiria kwa haraka ni Rav4 1999 au Prado 1997 ushawai kuitumia yoyote ushee uzoefu.
Au kama unazijua Suv nyingine ambazo ni cheap maintainance and fuel consumption ntashukuru sana ukini-suggestia ila isiwe harrier, limenikalia kushoto sana lile gari.
We una kiasi gani mkononi?Asante sana kwa ushauri ndugu. Nimeamua nitafute SUV za bei rahisi tu. Ntashukuru kama utanisuggestia yoyote ile ila tu isiwe Cami wala harrier. Mimi saa hizi ambazo zipo kwenye akili yangu ni rav4 1999 au prado 1997.
Dada angu, mimi naweza kujipiga piga mpaka kwenye milioni 17, ila tu sipendi harrier. Niambie gari unalotumia ili na mimi nianze kulizingatia nikalisakanye kwenye mitandao yao ya kuuza magariWe una kiasi gani mkononi?
Gari kubwa bila kuanzia 17m na kuendelea labda kama unanunua kwa mtu, lkn Japan cheiiiii
Urefu wako ni miguu ndio mirefu au ni kuanzia kiunoni kwenda juu?
Ila ukivuta kiti hadi mwisho unakaa kiroho safi.
Dada angu, mimi naweza kujipiga piga mpaka kwenye milioni 17, ila tu sipendi harrier. Niambie gari unalotumia ili na mimi nianze kulizingatia nikalisakanye kwenye mitandao yao ya kuuza magari
hz gari sio sare sare maua bali ni uniform ya daslam yaan kila mtu analo yaan idad ya harrier inaelekea kuzidi ist hapa townNna SUV lkn sio Toyota...Na mi Toyota zimenikalia kushoto balaa
Btw, hutaki kudrive tako la nyani weye?
Hizo hizo ndo zimeshuka bei now, 16 million unakamata mnyama, huoni mjini zimekuwa sare sare maua [emoji28][emoji28]
Mimi niliiendesha kuanzia BUZA mpaka mji wa IFAKARAHakuna unayemjua mwenye gari kama hiyo ujaribishe??
Si umpe dereva uber 10000 ufanye test drive mwenge hadi makumbusho uoneHabari za saa hizi members wa forum ya magari.
Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu.
I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua yenye cylinder ya 1300)
II. Nimeambiwa Haichemshi kwa safari za Dar - Moshi...
Mbona ishazidi idadi ya IST?hz gari sio sare sare maua bali ni uniform ya daslam yaan kila mtu analo yaan idad ya harrier inaelekea kuzidi ist hapa town
Umemaliza mkuu[emoji119][emoji119]IST ni gari inayomfaa Mwanamke tena student, mwanaume hata kama ni mfupi unayefit kwenye seat na sterling wheel jiongeze kidg ununue gari kubwa kiasi na iliyopo juu
noma sanaMbona ishazidi idadi ya IST?
Naona huu ujinga wa sare sare umepelekwa mikoani[emoji848]
Tatizo Mjapan hizi nyanya kazishusha bei sana, sijui ndo hiyo ubovu wa gearbox naosikia kwa wenyenazo
Nenda car wash zimejaa tele. Ukimwomba mwoshaji au mmiliki utaweza kupata majibu ya baadhi ya maswali yako.Naona ulisahau kidogo kusoma maelezo ndugu. Nimeshaeleza, kwa watu ninaowafahamu hakuna anaetumi ist. Wengi wao wanatumia subaru forester. Ambayo mimi kwa upande wa mafuta kitanishinda hiko chombo