Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

Ukinunua gari mpya ndio ya kwanza utaikwanguaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IST ni gari inayomfaa Mwanamke tena student, mwanaume hata kama ni mfupi unayefit kwenye seat na sterling wheel jiongeze kidg ununue gari kubwa kiasi na iliyopo juu
Sawa Kaffir
 
Nimeenda driving school ila gari tuliloendesha na mwalimu wangu hatukusogeza viti
You are not serious, shule gani hiyo ya udereva uliyosoma?! Mwalimu alikufundisha tu kunyoosha steering. Sasa ata hujui kama kwenye gari kuna ku adjust kiti huo ni udereva gani😀 hivyo ni vitu vya awali kabisa dereva unatakiwa uvijue ili ukae vizuri ktk kiti chako kulingana na urefu wako au ufupi wako ili kuzifikia zile pedal vizuri na kuwa comfortable hii ni kwa usalama wako na abiria waliopo ktk chombo chako.
 
IST ni gari inayomfaa Mwanamke tena student, mwanaume hata kama ni mfupi unayefit kwenye seat na sterling wheel jiongeze kidg ununue gari kubwa kiasi na iliyopo juu
Sterling inapatikana sehemu gani ktk gari mkuu?! Hivi toyota ndio wamesema IST ni gari kwa ajili ya wanawake au ni maoni yako tu?!
 
Tafuta kwa washkaji ujipime halafu usepe

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kwa urefu huo IST itakuwa fupi kwako mkuu..am talking from experience. Chukua Raum, Sienta au Ractis .
 
Tafuta IST omba ingia kaa chukua vipimo kisha utajua unaagiza au laaa
 
Habari mkuu Joel360 , mimi nina urefu wa 6.3 na ni miguu yangu ni mirefu na nilikuwa nina mpango wa kuchukua IST mwanzoni kabla sijabadilisha maamuzi na kuamua kuchukua SUV.

Nilijaribu gari ya rafiki yangu( IST) ila miguu / magoti yakawa yanagusa steering, so sikuwa comfortable kwenye ku turn na kupress brake na accelerator na hapo ni baada ya kurudisha kiti cha nyuma kabisa na kupandisha steering juu. Pia tulijaribu kupandisha kiti kwa juu na chini, ila vyote havikusaidia.

Rafiki yangu yeye urefu wake una range 6.0 - 6.2, na yeye sio mrefu sana kwenye miguu. Katika IST inamtosha kabisa.

Nakushauri jaribu kwenda yard, au hizi kampuni wanazouza magari jaribu kukaa kwenye IST kucheki kama upo comfortable kabla ya kununua.
 
😂
 
Mkuu utanunuaje gari ya kutumbukia? Nunua gari la kupanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…