Je, tozo za miamala ya simu ni matokeo ya wabunge wa CCM waliopelekwa Bungeni kinguvu?

Amesimamia mama Tanzania. Ni CV ya kipekee kwa maana ya yote aliyokutana nayo kisiasa.
 
Wabunge wa Ccm wamewaachia wafanyakazi maumivu mno

Mwaka 2018 wakapitisha sheria kuondoa FAO LA KUJITOA
 
Mtu kua mjenga hoja na elimu ambayo haiakisi ustawi na maendeleo ya nchi hiyo ni elimu hewa.Sasa hebu tuambie hizo hoja na hiyo elimu ya huyo unayemtetea imewasaidiaje masikini wa hili taifa.
 
Unataka kuniambia kuwa Heche ni bora kuliko Bashiru?

Unataka kuniambia kuwa Msigwa ana mantiki kichwani kumzidi Jerry Slaa!! Mkuu tupa Shuka pembeni kumeshakucha tayari.
Ukitaka watu wakuone unajenga hoja za msingi na za maana, achana na kutetea CCM. Kila Mara huyu bwana anatetea Mara uwanja wa ndege chato. Sasa unatetea bashiru. Kwa hiyo bukiriro unaunga mkono walichofanya wabunge wa CCM kupitisha tozo hizi umiza na bashiru wako Yuko kimywa? Kesho akija rais mwingi akamtosa bashiru unashangilia. Mbona huna msimo. Huoni Wana CCM wenzako wanamtosa unayemtetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…