Je TRC/SGR inahujumiwa ama inajihujumu!

Je TRC/SGR inahujumiwa ama inajihujumu!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.

Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza kidogo.

1. Wahujumu wanajulikana mpaka majina lakini hawajakamatwa mkurugenzi anakuja kulalama mitandaoni

2. Uhujumu unaofanywa ni wa kukata waya za umeme kwenye njia ya reli🥺🥺 hapa nadhani tumeongopewa.. Ule umeme ni HT huyo anaweza kukata nyaya zake akabaki salama anahitaji moyo wa jiwe, uthubutu na vifaa vya aina yake.

Kuna tatizo kubwa SGR na hawataki kuliweka wazi

Jumapili iliyopita tulipata safari ya dharura kwenda Dodoma tukitokea Dar . Tukaamua tuondoke na SGR lakini mara tukapata taarifa kuwa imezimika njiani zaidi ya masaa matano.. Ile ya kurudi Dar

Kwa kuhofia hizo shida tukaamua kuondoka na gari binafsi.. Tulikuwa jumla sita. Tukasafiri salama na Jumatatu tukafanya kilichotupeleka Dodoma na kumaliza nusu.

Watatu kati yetu wakaamua kurudi Dar mchana ile na sisi wengine tukabaki

Niliyoyaona SGR Dodoma

Tulifika pale saa sita kuwahi treni ya saa nane itakayofika Dar saa 11 lakini tukawa tumeichelewa. Lakini customer care tuliyokutana nayo kuanzia eneo la kupekuliwa mpaka kwenye ticket ni mbovu sana

Wafanyakazi was SGR ni washamba na wanajiona wao ndo kila kitu wana dharau na ni watemi..

Mtandao wao wa kukata ticket ulikuwa unasumbua lakini hawakujali hata kutoa taarifa..Utaratibu pia ni mbovu sana.

Askari waliopewa kandarasi ya usalama pale ni kampuni ya SUMA JKT aisee walikuwa na utemi na mabavu kwa abiria wengi bila sababu.. Yaani fuata wanachosema basi .. No argument!

RUSHWA

Nilishuhudia askari wa SUMA JKT wakiingia ndani kwa wakata ticket na vimemo kisha wakatoka na tickets.. Kuna watu hawapangi foleni pale..wanawatumia hao askari

Ubovu wa treni zenyewe

Kwakuwa tulikosa ile ya saa nane hivyo tulikata ile ya saa 11 kufika saa moja usiku.. Hivyo ikabidi tuzubaezbae mitaa hiyo hiyo kuliko kwenda na kurudi.

Soma Pia: Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Ni katikati kuzubaa huko ndio nikakuta vijana wa boda pale nje wanasema . .. Na hili la leo sijui kama litafika Dar bila kukata moto.

Ndugu zetu waliondoka saa kumi na moja lakini walifika Dar karibia saa sita usiku.. Goma lilikata moto njiani na hitilafu haikuwa umeme bali engine. Utabiri wa boda ukatimia

Treni zilizoletwa zina walakini mkubwa.. Sasa hapa anayehujumu ni nani?
 
Watatu kati yetu wakaamua kurudi Dar mchana ile na sisi wengine tukabaki Niliyoyaona SGR Dodoma

Washakula 10%wanatafuta wa kumungushia zigo!Vibaka Karni macho
 
Mkuu Mshana Jr mtanzania anaweza kufanya nini? Kla kitu hatuwezi. Haya ni mazingira yanaandaliwa ili Samia atakaposema tuwape wawekezaji, kila mtu ashangilie na kusema ''bora iwe hivyo''. Ndiyo maana huwa nasema CCM ni wabaya kuliko mashetani. Mnayemwita ''mama'' yupo tu anapiga soga na mashoga zake, hana habari na nchi inaendeshwaje. Sana sana yupo busy kununua au hata kuua kila anachodhani ni kikwazo kwake kupata tena urais. Hapa ndipo Usalama wa Taifa inapobidi wafanye kazi yao na waweke maslahi binafsi pembeni.
 
UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO

Dar es Salaam, Tarehe 06 Novemba 2024.

Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali kuhusu kusimama kwa Treni za EMU - Electric Multiple Unit, (Mchongoko) na changamoto za umeme.

Ukweli ni kwamba tangu kuanza kwa safari ya kwanza ya treni zinazotumia nishati ya umeme Juni 14, 2024 hakujawahi kuwa na changamoto ya umeme, tunawashukuru wenzetu wa TANESCO kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa.

Aidha, kilichotokea Novemba 3, 2024 na kusababisha kusimama kwa treni ya EMU kwa takribani Saa 6 ni hujuma kutokana na kukatika ama kukatwa kwa nyaya (catenary) zinazochukua umeme kutoka njia ya umeme kupeleka kwenye treni.

Shirika la Reli Tanzania linauhakikishia umma kuwa hakuna treni ya Mchongoko iliyopata hitilafu ya kiufundi.
Tayari baadhi ya wahusika wamekamatwa na hatua stahiki dhidi yao zimeshaanza kuchukuliwa ikiwemo kufikishwa kwenye vyombo husika.

Shirika linawakumbusha wananchi kuwa bado tuko kwenye kipindi cha mwaka mmoja cha matazamio, na kama changomoto zozote zinajitokeza, TRC itaujulisha umma kwa uwazi kama siku zote tunavyofanya, na taarifa rasmi mtazipata kwenye vyanzo vyetu rasmi na si vinginevyo.

TRC inawashukuru abiria kwa uvumilivu kipindi cha changamoto.

Fredy Mwanjala
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano

Hapa tumepigwa!
 
downloadfile.jpg

Boda walijuaje litabuma?
 
Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.

Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza kidogo.

1. Wahujumu wanajulikana mpaka majina lakini hawajakamatwa mkurugenzi anakuja kulalama mitandaoni

2. Uhujumu unaofanywa ni wa kukata waya za umeme kwenye njia ya reli🥺🥺 hapa nadhani tumeongopewa.. Ule umeme ni HT huyo anaweza kukata nyaya zake akabaki salama anahitaji moyo wa jiwe, uthubutu na vifaa vya aina yake.

Kuna tatizo kubwa SGR na hawataki kuliweka wazi

Jumapili iliyopita tulipata safari ya dharura kwenda Dodoma tukitokea Dar . Tukaamua tuondoke na SGR lakini mara tukapata taarifa kuwa imezimika njiani zaidi ya masaa matano.. Ile ya kurudi Dar

Kwa kuhofia hizo shida tukaamua kuondoka na gari binafsi.. Tulikuwa jumla sita. Tukasafiri salama na Jumatatu tukafanya kilichotupeleka Dodoma na kumaliza nusu.

Watatu kati yetu wakaamua kurudi Dar mchana ile na sisi wengine tukabaki Niliyoyaona SGR Dodoma

Tulifika pale saa sita kuwahi treni ya saa nane itakayofika Dar saa 11 lakini tukawa tumeichelewa. Lakini customer care tuliyokutana nayo kuanzia eneo la kupekuliwa mpaka kwenye ticket ni mbovu sana

Wafanyakazi was SGR ni washamba na wanajiona wao ndo kila kitu wana dharau na ni watemi..

Mtandao wao wa kukata ticket ulikuwa unasumbua lakini hawakujali hata kutoa taarifa..Utaratibu pia ni mbovu sana.

Askari waliopewa kandarasi ya usalama pale ni kampuni ya SUMA JKT aisee walikuwa na utemi na mabavu kwa abiria wengi bila sababu.. Yaani fuata wanachosema basi .. No argument!

RUSHWA

Nilishuhudia askari wa SUMA JKT wakiingia ndani kwa wakata ticket na vimemo kisha wakatoka na tickets.. Kuna watu hawapangi foleni pale..wanawatumia hao askari

Ubovu wa treni zenyewe

Kwakuwa tulikosa ile ya saa nane hivyo tulikata ile ya saa 11 kufika saa moja usiku.. Hivyo ikabidi tuzubaezbae mitaa hiyo hiyo kuliko kwenda na kurudi.

Soma Pia: Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Ni katikati kuzubaa huko ndio nikakuta vijana wa boda pale nje wanasema . .. Na hili la leo sijui kama litafika Dar bila kukata moto.

Ndugu zetu waliondoka saa kumi na moja lakini walifika Dar karibia saa sita usiku.. Goma lilikata moto njiani na hitilafu haikuwa umeme bali engine. Utabiri wa boda ukatimia

Treni zilizoletwa zina walakini mkubwa.. Sasa hapa anayehujumu ni nani?
Kikulacho ki nguoni mwako.
 
sisi bado tunahitaji kutawaliwa kama Tramp alivyosemaga miaka ya nyuma....viongozi tuliowapatia dhamana kwa niaba yetu; ni WAOGA, WAONGO, WEZI, WAVIVU....yaani hakuna tofauti kati ya kibaka na kiongozi wa umma...mstari wao ni mwembamba sana...haiwezekani kabisa kama kweli tupo hapa na tunatumia akili zetu vizuri ninao wasiwasi.
Watutajie majina ya hao wahujumu...kama hawana ujasiri wawape majina viongozi wa CHADEMA wayataja kwa umma
 
Hivi kwani TRC nayo hutumia barabara za lami? Biashara siku zote ni ushindani. Zama za Monopoly zimepitwa na wakati. If u can't compete just stay aside or the Market will throw u out.
Sasa ndio waache kuharibu miundo mbinu ya SGR basi
 
Case closed! Wamejihujumu wenyewe
downloadfile.jpg
 
Asili yetu ni kutembea peku..kwa miguu..kunya vichakani..

SGR sio yetu ni ya watu huko.
 
Back
Top Bottom