Washakula 10%wanatafuta wa kumungushia zigo!Vibaka Karni machoKama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.
Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza kidogo.
1. Wahujumu wanajulikana mpaka majina lakini hawajakamatwa mkurugenzi anakuja kulalama mitandaoni
2. Uhujumu unaofanywa ni wa kukata waya za umeme kwenye njia ya reli🥺🥺 hapa nadhani tumeongopewa.. Ule umeme ni HT huyo anaweza kukata nyaya zake akabaki salama anahitaji moyo wa jiwe, uthubutu na vifaa vya aina yake.
Kuna tatizo kubwa SGR na hawataki kuliweka wazi
Jumapili iliyopita tulipata safari ya dharura kwenda Dodoma tukitokea Dar . Tukaamua tuondoke na SGR lakini mara tukapata taarifa kuwa imezimika njiani zaidi ya masaa matano.. Ile ya kurudi Dar
Kwa kuhofia hizo shida tukaamua kuondoka na gari binafsi.. Tulikuwa jumla sita. Tukasafiri salama na Jumatatu tukafanya kilichotupeleka Dodoma na kumaliza nusu.
Watatu kati yetu wakaamua kurudi Dar mchana ile na sisi wengine tukabaki Niliyoyaona SGR Dodoma
Tulifika pale saa sita kuwahi treni ya saa nane itakayofika Dar saa 11 lakini tukawa tumeichelewa. Lakini customer care tuliyokutana nayo kuanzia eneo la kupekuliwa mpaka kwenye ticket ni mbovu sana
Wafanyakazi was SGR ni washamba na wanajiona wao ndo kila kitu wana dharau na ni watemi..
Mtandao wao wa kukata ticket ulikuwa unasumbua lakini hawakujali hata kutoa taarifa..Utaratibu pia ni mbovu sana.
Askari waliopewa kandarasi ya usalama pale ni kampuni ya SUMA JKT aisee walikuwa na utemi na mabavu kwa abiria wengi bila sababu.. Yaani fuata wanachosema basi .. No argument!
RUSHWA
Nilishuhudia askari wa SUMA JKT wakiingia ndani kwa wakata ticket na vimemo kisha wakatoka na tickets.. Kuna watu hawapangi foleni pale..wanawatumia hao askari
Ubovu wa treni zenyewe
Kwakuwa tulikosa ile ya saa nane hivyo tulikata ile ya saa 11 kufika saa moja usiku.. Hivyo ikabidi tuzubaezbae mitaa hiyo hiyo kuliko kwenda na kurudi.
Soma Pia: Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!
Ni katikati kuzubaa huko ndio nikakuta vijana wa boda pale nje wanasema . .. Na hili la leo sijui kama litafika Dar bila kukata moto.
Ndugu zetu waliondoka saa kumi na moja lakini walifika Dar karibia saa sita usiku.. Goma lilikata moto njiani na hitilafu haikuwa umeme bali engine. Utabiri wa boda ukatimia
Treni zilizoletwa zina walakini mkubwa.. Sasa hapa anayehujumu ni nani?
Mkuu Mshana Jr mtanzania anaweza kufanya nini? Kla kitu hatuwezi. Haya ni mazingira yanaandaliwa ili Samia atakaposema tuwape wawekezaji, kila mtu ashangilie na kusema ''bora iwe hivyo''. Ndiyo maana huwa nasema CCM ni wabaya kuliko mashetani. Mnayemwita ''mama'' yupo tu anapiga soga na mashoga zake, hana habari na nchi inaendeshwaje. Sana sana yupo busy kununua au hata kuua kila anachodhani ni kikwazo kwake kupata tena urais. Hapa ndipo Usalama wa Taifa inapobidi wafanye kazi yao na waweke maslahi binafsi pembeni.Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.
Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza kidogo.
1. Wahujumu wanajulikana mpaka majina lakini hawajakamatwa mkurugenzi anakuja kulalama mitandaoni
2. Uhujumu unaofanywa ni wa kukata waya za umeme kwenye njia ya reli🥺🥺 hapa nadhani tumeongopewa.. Ule umeme ni HT huyo anaweza kukata nyaya zake akabaki salama anahitaji moyo wa jiwe, uthubutu na vifaa vya aina yake.
Kuna tatizo kubwa SGR na hawataki kuliweka wazi
Jumapili iliyopita tulipata safari ya dharura kwenda Dodoma tukitokea Dar . Tukaamua tuondoke na SGR lakini mara tukapata taarifa kuwa imezimika njiani zaidi ya masaa matano.. Ile ya kurudi Dar
Kwa kuhofia hizo shida tukaamua kuondoka na gari binafsi.. Tulikuwa jumla sita. Tukasafiri salama na Jumatatu tukafanya kilichotupeleka Dodoma na kumaliza nusu.
Watatu kati yetu wakaamua kurudi Dar mchana ile na sisi wengine tukabaki Niliyoyaona SGR Dodoma
Tulifika pale saa sita kuwahi treni ya saa nane itakayofika Dar saa 11 lakini tukawa tumeichelewa. Lakini customer care tuliyokutana nayo kuanzia eneo la kupekuliwa mpaka kwenye ticket ni mbovu sana
Wafanyakazi was SGR ni washamba na wanajiona wao ndo kila kitu wana dharau na ni watemi..
Mtandao wao wa kukata ticket ulikuwa unasumbua lakini hawakujali hata kutoa taarifa..Utaratibu pia ni mbovu sana.
Askari waliopewa kandarasi ya usalama pale ni kampuni ya SUMA JKT aisee walikuwa na utemi na mabavu kwa abiria wengi bila sababu.. Yaani fuata wanachosema basi .. No argument!
RUSHWA
Nilishuhudia askari wa SUMA JKT wakiingia ndani kwa wakata ticket na vimemo kisha wakatoka na tickets.. Kuna watu hawapangi foleni pale..wanawatumia hao askari
Ubovu wa treni zenyewe
Kwakuwa tulikosa ile ya saa nane hivyo tulikata ile ya saa 11 kufika saa moja usiku.. Hivyo ikabidi tuzubaezbae mitaa hiyo hiyo kuliko kwenda na kurudi.
Soma Pia: Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!
Ni katikati kuzubaa huko ndio nikakuta vijana wa boda pale nje wanasema . .. Na hili la leo sijui kama litafika Dar bila kukata moto.
Ndugu zetu waliondoka saa kumi na moja lakini walifika Dar karibia saa sita usiku.. Goma lilikata moto njiani na hitilafu haikuwa umeme bali engine. Utabiri wa boda ukatimia
Treni zilizoletwa zina walakini mkubwa.. Sasa hapa anayehujumu ni nani?
UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO
Kikulacho ki nguoni mwako.Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.

Abouday na ShabbibayImehujumiwa na akina nani?
Wafanyabiashara wa mabasi?
Wauza chuma chakavu?
Wazee wa 20%?
Walionunua mitumba?
Walioongeza masifuri kwenye manunuzi?
Hivi kwani TRC nayo hutumia barabara za lami? Biashara siku zote ni ushindani. Zama za Monopoly zimepitwa na wakati. If u can't compete just stay aside or the Market will throw u out.Abouday na Shabbibay
Sasa ndio waache kuharibu miundo mbinu ya SGR basiHivi kwani TRC nayo hutumia barabara za lami? Biashara siku zote ni ushindani. Zama za Monopoly zimepitwa na wakati. If u can't compete just stay aside or the Market will throw u out.
Maandishi haya sio mageni jijiniNimesoma heading tu…, inahujumiwa.