Je Trey Song ni Shoga?

Hivi ka Lil Wayne sio kagei kweli maana ile afya yake!!!!!
 

ebu angali huyo jamaa mdomo ulivyokuzwa kama samaki na watu wakikiss kwa kawaida wanakiss kwenye midomo lips ya juu na chini inagusana kwa pamoja lakini hapa mdomo wa trey una mgusa kwa juu jamaa ili kuzuia pua ya trey isizame ndani ya uso wa jamaa na mdomo wa jamaa umekuzwa ili kuwe na distance
 

Mbona unamtetea sanaaaaa
 
ukipata time nenda you search gay rapper exposed utashtuk humo with ploofs za kutosh wakin dirty money n etc ni bisexul

Hadi dre dah noma sana nilichoka nilipoona will smith anatoka na duan martin yule nyota wa sinema ya above the rim.yaani jamaa ni wapenzi kabisa. Wengine maarufu ndio hao kina west na lil wyne,matt damon dah!. ...
 
u wil see mengi san na hyo ni agenda ya masons
they do t for fame
 
Hizo picha ni photoshop na kuna account ya twiter si yake ni ya kutengeneza.

Mwenyewe halikanusha

Hiyo account ni yake na hata alivyokanusha alitumia the same account labda angesema wame-hack lakini ni account yake halali kabisa naweza kuamini picha ni photoshop ngoja nicheki tweets zake za kukanusha utaona hajaikataa hiyo account.
 

Msaada tu kwenye tuta "All games and jokes aside..." Kwa lugha yetu sisi wabongo ina maana gani naama kwa kiswahili inawezekana kichwa changu kinaelekea kuzimika.
 
no no no no
not trey songs..no

Haaaaahaa fan base yake ina idadi kubwa ya wadada wameshtuka na kukataa cuz wanajiuliza jamaa kakosa nini hasa ila simply kuna ukweli Trey Songz ana kidume anakipenda.
 
Sasa kuna nn cha kubisha hapo? Wakati account verified kabisaa
 
Bado bongo sasa maana hizo hirini zao zatutisha, na wavavyovaa suruali za kubana mapaja na makalio tena chini ya makalio...lets wait and see
 
Kuweni makini....kuna juhudi kubwa sana za mashoga tena wengine matajiri wakubwa kutaka kutumia kila uwezo wao kuufanya ushoga kuwa mahusiano ya kawaida kama mengine.....Zinafanyika juhudi kubwa.....bad enough vijana wengi wanasoma kwenye mitandao ambako habari hizi zimejaa (hata hapa JF).Kama wewe unania ya dhati kupinga ushoga usipost habari nzuri au mbaya ya ushoga ili isizoeleke kirahisi kwenye jamii yetu.....
 
Hebu fikiria unaposoma habari ya mtu unayeamini ni dume kamili kama tyson kuwa ni shoga......nini kitakuja kichwani.....imagination ya Tyson akifanywa siyo..........binadamu wengine(kwa tofauti alizotupa Mola) anaposoma mara nyingi habari kama hizi kutoka kwa watu anaowaamini.....anaanza kulibeba kama kitu cha kawaida......mwisho wenye akili mbovu anaanza kupata tamaa ya kutaka kujua kuna nini huko hadi mtu kama Tyson(kwa mfano) akavutiwa........tunaharibu ulimwengu huu sisi wenyewe.... Binafsi nimejifunza sitopost hizi habari kwa namna inayoweza kuleta negative impact...
 

Mkuu tunapambana na kitu ambacho kipo sio nadharia tukiamua kukaa kimya au kukiongelea bado kitakuepo na kilikuwpo kabla yetu,mimi au wewe tutaacha ku-post ila mashoga wataendea kuwepo ni muhimu kukumbushana kuhusu hili janga.
 
wabongo bhana kweli mamburula mshaambiwa all game and jokes aside .....yaani maana yake ni utani na masihara
umetia boko mtu wangu.. wahi offer ya Ras Simba...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…