inabidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama kuwalipa chadema ruzuku ambayo wanazurura tu nakujilipa maposho ruzuku ikiingia tu mbowe anaanza ziara mpaka ziisheHili hata sio fikirishi, jibu ni rahisi tu mabeberu yatajazilishia, na uongo pia kutumika Kama kawaida ya nchi yetu chini ya CCM
Deni linalipwa huku tukiendelea kukopa. Ndio maana kwenye budget hiyo hiyo, kutoka kwenye makusanyo ya TRA kuna fungu la kulipa madeni.Sasa hapo tunapunguza deni la taifa au tunaongeza maana naona tutazidi kukopa
linapungua katika bajeti kuna hela ya kulipa deni la taifa laziuma lipungueSasa hapo tunapunguza deni la Taifa au tunaongeza maana naona tutazidi kukopa
Sawa kabisa na kule kutembea na loba la hela na kugawa kwa wanyonge naona hakuna tena lazima lipungue tu.inabidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama kuwalipa chadema ruzuku ambayo wanazurura tu nakujilipa maposho ruzuku ikiingia tu mbowe anaanza ziara mpaka ziishe
Kumradhi ni 36 na pointi kadhaaHiyo bajeti yako ya trilioni 34 ni ya serikali gani?
inabidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama kuwalipa chadema ruzuku ambayo wanazurura tu nakujilipa maposho ruzuku ikiingia tu mbowe anaanza ziara mpaka ziishe