Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Jibu: Ni mikopo ya ndani na nje. Deni la Taifa kupaa kwa 10tr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, CHADEMA siyo tatizo, pia ruzuku wamekataa! Ufisadi mkubwa ni jina la pili la ccm!inabidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama kuwalipa chadema ruzuku ambayo wanazurura tu nakujilipa maposho ruzuku ikiingia tu mbowe anaanza ziara mpaka ziishe
Tunatembeza bakuli kwa mabeberuHabari wanachama wa JF,
Swali langu mimi ni kuwa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 ni trillioni 34 na pointi kadhaa sasa najiuliza hadi utawala wa Hayati Magufuli R.I.P, makusanyo ya kodi kwa mwezi ni trillioni 2 ambako ndani ya mwaka mzima ni trillion 24 tena hapo bila kushuka kwa makusanyo katika miezi yote 12. Sasa je, katika trillioni 34 ya bajeti kuna upungufu wa trillioni 10 kutoka katika makusanyo.
Je, hizo 10 trillioni zinatoka wapi kuja kukamilisha 34 trillioni?
Na jinsi zinavyotumika hamna kuhoji, ukihoji lazima likupate kubwa! Nchi hii as long as upinzani/wapinzani ni zao la CCM/TISS hakuna unafuu, wapinzani ni mapimbi, na CCM ni mapimbi pia (Japo CCM wana unafuu). Angalia walioanzisha upinzani 1992, Mrema, Marando, Mtei, Wassira, Lamwai, makongoro, Lipumba (Yote ni maTISS yaliyobobea, and still watu wanaamini upinzani huu). And still bado wanabeba hayo matiss (Lowasa, Sumaye, Nyalandu, Slaa, Mbatia, Mbowe na wengineo wengi).inabidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama kuwalipa chadema ruzuku ambayo wanazurura tu nakujilipa maposho ruzuku ikiingia tu mbowe anaanza ziara mpaka ziishe
Usipomtaja Mbowe na Chadema siku kwako haiendi poa?inabidi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kama kuwalipa chadema ruzuku ambayo wanazurura tu nakujilipa maposho ruzuku ikiingia tu mbowe anaanza ziara mpaka ziishe
Umeisoma bajeti kwenye ile sehemu ya budget frame? Mnakuwaga na maswali gani hayo?Habari wanachama wa JF,