Kama watu wanawataka wazee huwezi kulazimisha vijana,Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November
Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato wa kumpata mgombea. Kuna dalili kubwa bwana Trump akawa mgombea wa uraisi kupitia Republican
Je, ikiwa Trump akasimama tena na Biden mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?
Lakini ikitokea kweli hawa wazee wote wakaingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, ina maana Marekani hakuna wanasiasa vijana?
Mzee Trumpet 🎺Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November
Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato wa kumpata mgombea. Kuna dalili kubwa bwana Trump akawa mgombea wa uraisi kupitia Republican
Je, ikiwa Trump akasimama tena na Biden mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?
Lakini ikitokea kweli hawa wazee wote wakaingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, ina maana Marekani hakuna wanasiasa vijana?
Hata bila msaada atakigaragaza kizee,kilichochoka ubongo mapeema asubuhi 😁Kwa msaada wa Putin Trump atatoboa.
Kesi ipi inaweza kumtoa kwenye kinyang'anyiro? Uzuri wa Marekani watu wakikutaka unaweza kwenda ikulu kutokea jela.Sio hivyo kwani wanasiasa wengi vijana wamewahi kuiongoza hiyo nchi mara nyingi ila ni swala la wakati tu.
Hata hivyo bado uhakika wa Trump kuwa kwenye kinyang'anyiro bado ni kitendawili kwani mpaka apangue vyesi vinavyo mkabili na ni shughuli.
Watamuondoaje??Njia pekee ya Kumzuia Trump ili asishinde uchaguzi ujao ni kumuondoa kwenye karatasi ya Kura, Sema kwa mbali naona kama Mwanamama Nikki Haley anatengenezewa ka mserereko, In case Nikki Haley akishinda Urais Dunia ijiandae kwa vita ya tatu ya Dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Trump atatangazwa kuwa rais mapema saa 1 asubuhi kwa saa za huko!
InawezekanaKwa msaada wa Putin Trump atatoboa.
Tuendelee kusubiri
Kwa nini mkuuNjia pekee ya Kumzuia Trump ili asishinde uchaguzi ujao ni kumuondoa kwenye karatasi ya Kura, Sema kwa mbali naona kama Mwanamama Nikki Haley anatengenezewa ka mserereko, In case Nikki Haley akishinda Urais Dunia ijiandae kwa vita ya tatu ya Dunia