Je, Trump akisimama tena na Biden kwenye Mbio za Urasi mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

Je, Trump akisimama tena na Biden kwenye Mbio za Urasi mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November

Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato wa kumpata mgombea. Kuna dalili kubwa bwana Trump akawa mgombea wa uraisi kupitia Republican

Je, ikiwa Trump akasimama tena na Biden mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

Lakini ikitokea kweli hawa wazee wote wakaingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, ina maana Marekani hakuna wanasiasa vijana?
Hapo ni yeyote tu mwenye ushawishi kwa wananchi
 
Back
Top Bottom