Je, tuanzishe JF University (JFU)? Itakuwa the largest, the biggest & the richest reference library in Tanzania. Je, Max awe VC Wetu?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Leo tena nimepata fursa ya kushuka na kwa maslahi ya taifa, leo ni kuhusu kuifanya jf kuwa ni chuo kikuu yaani tuanzishe a JF University, tuuite JFU, Sikh hizi with cyber world, chuo kikuu sio lazima kiwe na eneo maalum, kuna vyuo vikuu ni virtual reality only! hakuna darasa hata moja!

Tukianzisha JFU, hugo ndio Itakuwa the largest, the biggest & the richest reference library in TZ!. Mnaonaje sisi wana JF, kwanza kwa kutambua mchango wa JF kwa uhabarishaji, tumpe Mkuu Maxence Melo', Ph.D ya heshima ya JFU, awe ndie VC wetu wa JFU?

Kwa kuanzia anzia hapa
Baada ya kutokea ajali nyingine another hili iliyomuua Balozi Mushi, eneo lile lile ilipotokea ajali ya Mtikila nikaikumbuka hii ajali ya Mchungaji Mtikila, baada ya thread hii jf mode wakaweka mabandiko ya Mchungaji Mtikila humu, kusema ukweli imenichukua siku nzima kuyapitia, na katika kuyapitia wazo likanijia, inawezekana kwa Tanzania, jf ndio the biggest and the richest source of reference materials!. How can we store all these materials kwa vizazi vijavyo?.

Wenzetu Waingereza wao wanatunza kila taarifa kwenye Encyclopedia Britannica, mnaonaje kama JF tutaanzisha kitu kinachoutwa "JF Encyclopedia De Tanzania", halafu kila kinachoandikwa humu jf, kinakuwa na back copies za print out?.

Sisi wengine humu ni kama manabii fulani, japo sijui savers za jf ziko wapi lakini something is telling me, on line savers alone is not safe!, kuna siku tutapata cyber attack from UFO na kupoteza all these rich materials!.

Mkuu Maxence Melo , andaa andiko la kuanzisha JF Reference Library, humu tuweke print out ya ile michango yetu muhimu.

Mfano mimi nilijiunga jf toka mwaka 2006, ile July, 2008, kuna mtu alipandisha bandiko humu jf kuhuhusu na jinsi ninavyoendesha pikipiki, miongoni mwa wachangiaji mle, kuna walio ombea nipate ajali nif...!, baada ya 7 days nilipata ajali mbaya ya pikipiki Bandiko like lilifungwa likafurwa!, likapandishwa bandiko hili Pascal Mayalla apata ajali.

Kwa sasa hakuna namna ya kuona kile kilichoandikwa mule, natamani nimtafute yule nabii wa majanga, usikute anaishi tuu kama mtu wa kawaida na alijisemea tuu jamaa atapata ajali na ajali ikajitokea tuu, kumbe he/she is very powerful, ana powers fulani, if properly channelled huyu ni mtu tajiri sana!.

Eneo nilipopata ajali, ni eneo hilo hilo Chacha Wangwe alipata ajali na kufariki, ni aneo hilo hilo Salome Mbatia alipata ajali na kufariki!, hivyo humu mabarabani kuna maeneo ni prone kwa ajali za vifo, kama ilivyo ile imaginary Bermuda Triangle, au kuna superstition fulani ndege ikipita usawa fulani juu ya Mlima Kilimanjaro, inavutwa na ku vanishes into thin air!.

Tuanzishe JF University, JFU, tanya Reference Library tuweke print out. Nashauri 2026 tufanye maadhimisho ya 20 years of JF in Tanzania, let's compiles baadhi ya mabandiko yenye JF impact kwa taifa letu for the past 20 years!, ni sisi jf ndio tumeumba viongozi wa taifa hili kwa kauli zetu humu and it's very unfortunately pia ni sisi ndio tumewaua kwa kuanza kuwaua humu kisha wakaja kufa kweli.

Siku hiyo ya maadhimisho ya 20 years of JF, ndio tuzindue hiyo print library, italisaidia sana taifa hili!.

Hili mnalionaje?

Paskali
P
 
Wazo zuri Bwana Mayalla! Toka jiwe limong'onyoke umerudi kua Pasco yule aliyetuvutia wengi kujiunga humu kisimani kwenye maujuzi tele..

Hata mimi nimewahi kuwaza huenda kuna siku JF itayeyuka tu.. Maxence Melo
 
Bado database iko low
Ndio mwanzo! Ujue hata the moment tunaingia humu JF ilikua inaonekana ni kijimtandao kidogo ukilinganisha na Mitandao mingine kwa mfano enzi hizo Facebook ndo inakimbiza! Ila ikafika mahala JF ndo ikawa source ya habari zote za kuaminika!

Mimi mpaka leo sijihangaishagi kusoma wala kufuatilia magazeti maana najua kila linaloendelea kupitia JF.. So hiyo hiyo Low database tunaweza kunyanyuka mdogo mdogo mpaka Africa nzima ikawa inachota maarifa JF .
 
Wazo zuri. Tatizo JF kuna kila aina ya tusi, kashfa, majigambo, ujuaji, n.k., n.k... Napendekeza huyo Mkuu wa Chuo awe mbobevu kwa nyanja hizo

Nafikiri JFU itakuwa Chuo Kikuu cha ajabu kuwahi kutokea duniani.

'NAWAZA KWA SAUTI TU'
 
Wazo zuri. Tatizo JF kuna kila aina ya tusi, kashfa, majigambo, ujuaji, n.k., n.k... Napendekeza huyo Mkuu wa Chuo awe mbobevu kwa nyanja hizo

Nafikiri JFU itakuwa Chuo Kikuu cha ajabu kuwahi kutokea duniani.

'NAWAZA KWA SAUTI TU'
GENTAMYCINE aliwahi kufundisha chuo kikuu fulani, napendekeza awe DVC - Academic.
 
P.
A very good idea
Mimi nitakuwa TA halafu wewe Professor wangu

Someni kazi zangu za hivi karibuni hizo hapo kwenye hiyo link; kwa wale walio Chuo Kikuu
 
Jamiiforums hii hii ya apostle GENTAMYCINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…