Ingawaje sio kwamba naunga mkono hoja ya Mchangiaji kwa sababu I don't comment on gossips, lakini najiuliza tu ikiwa umekulia Tanzania na Afrika kwa ujumla au umezaliwa na kukulia Switzerland?!Hizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?
Kama hauungi mkono hoja inamaana haukubaliani na alichokiandika.Ingawaje sio kwamba naunga mkono hoja ya Mchangiaji kwa sababu I don't comment on gossips, lakini najiuliza tu ikiwa umekulia Tanzania na Afrika kwa ujumla au umezaliwa na kukulia Switzerland?!
Sasa kwa B45 za Bwana Azam si walikataa kuondoka na kibuyu cha asali kabisa?Unajua kulamba adali wewe,wale wote wananjaa unapewa milioni mia moja tu unatulia kimya
Hiyo ml200 si wangeweza kutoa ktk hizo B45 zisizo hewa za Bakhresa wakaachana na msanii ambae alikua anawarubuni tu. So hadi FCC nao walidanganywa kumbe hela hamna. Lakini ipo siku ukweli tutaujua.Mo alifanya propaganda alishika vyombo vya habari , alikuwa hakauki kwenye vipindi vya MICHEZO, uzuri mo , Sales and marketing anaijua
Hili sakata nililifatilia vzr Sana, kwa kipind kile hata angekuwepo mtu ana billions 100 bado asingepindua kwa Mo mwenye propaganda ya B20 hewa.
Kwanza alianzaga na style Kama anajitolea, akawasajiria Simba, akahudumia timu, n.k ,baadae walipotaka kumbana Akawaambia wamrudishie gharama zote, Nakumbuka Kuna dirisha moja alitoaga had Million 200 ,
Soma Hapa
Mo Dewji aitaka Simba imrudishie pesa zake
Mo Dewji aitaka Simba imrudishie pesa zakewww.muungwana.co.tz
MWISHO Simba walinywea wakaona wameshakula vya Mo , sharti wamuachie Timu
The rest is History
Nimekuambia huwa si-comment kwenye gossips.Kama hauungi mkono hoja inamaana haukubaliani na alichokiandika.
Mo hakutaka simba ijitegemee ndio maana alipinga mkataba wa sportpesa pia alijenga mazingira ya kutokuwa na mshindani ndio maana alianza kukopesha timu kabla ya mchakato was ubinafsishaji.Mo alifanya propaganda alishika vyombo vya habari , alikuwa hakauki kwenye vipindi vya MICHEZO, uzuri mo , Sales and marketing anaijua
Hili sakata nililifatilia vzr Sana, kwa kipind kile hata angekuwepo mtu ana billions 100 bado asingepindua kwa Mo mwenye propaganda ya B20 hewa.
Kwanza alianzaga na style Kama anajitolea, akawasajiria Simba, akahudumia timu, n.k ,baadae walipotaka kumbana Akawaambia wamrudishie gharama zote, Nakumbuka Kuna dirisha moja alitoaga had Million 200 ,
Soma Hapa
Mo Dewji aitaka Simba imrudishie pesa zake
Mo Dewji aitaka Simba imrudishie pesa zakewww.muungwana.co.tz
MWISHO Simba walinywea wakaona wameshakula vya Mo , sharti wamuachie Timu
The rest is History
Tena kamati ya tenda iliongozwa na jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa-Jaji MihayoHizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?
Unakumbuka point za Mo kwenye deal la sportpesa ? Mo ndo alikuwa wa kwanza kusema ile pesa ni ndogo kwa taarifa yakoMo hakutaka simba ijitegemee ndio maana alipinga mkataba wa sportpesa pia alijenga mazingira ya kutokuwa na mshindani ndio maana alianza kukopesha timu kabla ya mchakato was ubinafsishaji.
Wale wote waliofanikisha walipewa zawadi ya ujumbe wa bodi.
Kama alinumua hisa kwa billion 20 kwanini alipinga udhamini wa billion 40 za bakheasa kwa miaka 10
Mkataba wa sports pesa hata kama ulikuwa mdogo huwezi kufananisha na mikataba ya matangazo ya kampuni zake , mkataba wa Azam pia alisema mdogo ingawa ametoa pesa nyingi kuliko alizotoa yeye kununulia timuUnakumbuka point za Mo kwenye deal la sportpesa ? Mo ndo alikuwa wa kwanza kusema ile pesa ni ndogo kwa taarifa yako
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
.Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.
Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.
Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.
Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.
Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.
Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.
Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.
Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?
Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?
Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?
Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?
Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.