Mo alifanya propaganda alishika vyombo vya habari , alikuwa hakauki kwenye vipindi vya MICHEZO, uzuri mo , Sales and marketing anaijua
Hili sakata nililifatilia vzr Sana, kwa kipind kile hata angekuwepo mtu ana billions 100 bado asingepindua kwa Mo mwenye propaganda ya B20 hewa.
Kwanza alianzaga na style Kama anajitolea, akawasajiria Simba, akahudumia timu, n.k ,baadae walipotaka kumbana Akawaambia wamrudishie gharama zote, Nakumbuka Kuna dirisha moja alitoaga had Million 200 ,
Soma Hapa
Mo Dewji aitaka Simba imrudishie pesa zake
www.muungwana.co.tz
MWISHO Simba walinywea wakaona wameshakula vya Mo , sharti wamuachie Timu
The rest is History