Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ?
Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ?
Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ?
Je tuendelee kuamini katika katiba tuliyonayo ?
Je tuendelee kuamini Tanzania tunapendwa sana mpaka tunapewa misaada na mikopo yenye masharti nafuu ?