G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Unampa mtu talaka na bado hutaki akapate mwenza mpya, stupidity ya high level.Sitaki kuandika uchambuzi wowote kuhusu Mkude, swali ni je, Tustaafishe Jezi yake au, tufute hilo swala kwa kuwa kaenda upande wa pili kutafta masilahi?
Safi sana, jibu nimelipenda hiliMkudee anafanya kazi ni mwajiriwa kama waajiriwa wengine
Kama wewe unaweza kuhama kampuni moja kwenda nyingine , kumbuka Ibrahim ajibu alihama yanga kwenda simba wakati ambao yanga walikuwa wanamhitaji na walikuwa na hali tete.
Kuna muda inabidi tusiwalaumu kwakuwa inabidi wasifuate furaha yetu nao wanahitaji kufika malengo.
Note: ili ifanikiwe usifuate matakwa ya watu
Au ya GentamycinTupate maoni ya Scars na OKW BOBAN SUNZU kwanza..
AhaaahaaaaaTupate maoni ya Scars na OKW BOBAN SUNZU kwanza..
Kaka nikushukuru Kwa mawazo mapana. Wasamehe uliowaita mashabiki maandazi ingawaje kiukweli ni Mabumunda wala si Maandazi.Mlitaka Mkude astaafu kucheza soka? Au mlitaka aende penye riziki ndogo? Huu ni ujuha.
Mkude hajataka kuondoka Simba. Bali uongozi ndiyo uliona wampe mkono wa kheri akatafute changamoto kwingine. Ina maana walipaswa kumchagulia timu ya kwenda? La hasha!.
Mkude ataendelea kuwa 'Legend' kwenye klabu yetu. Ninyi mnaotafsiri vinginevyo ni Mashabiki Maandazi.
Kabisa mkuu , ajabu akiondoka anavyoandamwa na kashfa ndipo unapogundua kubwa unatakiwa ufanye kwa manufaa yako sio kwa manufaa ya watu kuna muda watu hawana shukrani ukizeekea kwao na huna kitu wala hawatakukumbukaSafi sana, jibu nimelipenda hili
Yaani watu hata huwa hawaeleweki.
Mchezaji huyo unayeng'ang'ania abaki kwenye timu akufurahishe, siku ukigundua hana mafanikio na maisha yake magumu, unashangaa pia, huku ukilaumu klabu na kwenda mbali zaidi kuwasingizia wachezaji kwa kupenda starehe.
Ni kweli mkuuMkude hajafanya usaliti wowote,ameondoka bila waa lolote Simba zaidi tu ya mambo yake mwenyewe binafsi. Hatuna deni naye tunamtakia maisha mema.
Athumani China, Tom Kipese, Omar Hussein, Jujuman, Steven Nemes.....Mohamed hussen machinga, kizota, lunyamila, Ngassa wore hao walichezea Simba baada ya kuondoka yanga kwa hiyo hakuna Cha ajabu
Njaa mbayaa kivipi? Si tulimuacha wenyewe au?Tuendelee kumheshimu..huku tukitambua kwamba njaa mbaya