Je, tuendelee kustaafisha Jezi ya Mkude kama Legend, au tumuite Legend Msaliti?

Je, tuendelee kustaafisha Jezi ya Mkude kama Legend, au tumuite Legend Msaliti?

Mlitaka Mkude astaafu kucheza soka? Au mlitaka aende penye riziki ndogo? Huu ni ujuha.

Mkude hajataka kuondoka Simba. Bali uongozi ndiyo uliona wampe mkono wa kheri akatafute changamoto kwingine. Ina maana walipaswa kumchagulia timu ya kwenda? La hasha!.

Mkude ataendelea kuwa 'Legend' kwenye klabu yetu. Ninyi mnaotafsiri vinginevyo ni Mashabiki Maandazi.
Swadaktaaaaaa!!!
 
Mimi mwana lunyasi, wachezaji ni binadamu ambao wanawake maisha kama mimi na wewe, utaondoka a mpumbavu mtu yeyote kusema mkude msaliti.

Utaonekana mtu wa hovyo kama utamu ona mkude msaliti.
Hapa kila mtu anafanya kazi na kupata kipato, Mkude hakulinga kusajiriwa Simba ila Simba ndio kasema inatosha kwa Mkude
 
MPIRA wetu unahitaji.

1. Miundombinu.
2.vifaa vya MICHEZO.
3. Viwanja Bora.
4. MAKOCHA.
6.Academy za WATOTO.
7. VAR, GLT..

MPIRA WETU NI ZAIDI YA JEZI YA MKUDE, AMKA USINGIZINI HIVI NANI AMEWAROGA?????
 
Mlitaka Mkude astaafu kucheza soka? Au mlitaka aende penye riziki ndogo? Huu ni ujuha.

Mkude hajataka kuondoka Simba. Bali uongozi ndiyo uliona wampe mkono wa kheri akatafute changamoto kwingine. Ina maana walipaswa kumchagulia timu ya kwenda? La hasha!.

Mkude ataendelea kuwa 'Legend' kwenye klabu yetu. Ninyi mnaotafsiri vinginevyo ni Mashabiki Maandazi.
Tena maandazi yale yanakuwaga na upepo.
 
Njaa mbayaa kivipi? Si tulimuacha wenyewe au?
Angekuwa hana njaa angeenda club za kawaida kwa ajili ya kumalizia mpira...huko angekuwa anacheza panga pangua kama itakavyokuwa kwa HD.
Milioni tano tu ameshindwa kulinda heshima aliyojiwekea Simba.
 
Sitaki kuandika uchambuzi wowote kuhusu Mkude, swali ni je, tustaafishe jezi yake au, tufute hilo swala kwa kuwa kaenda upande wa pili kutafuta masilahi?
Hakuna kustaafisha wala kumuaga.
 
Angekuwa hana njaa angeenda club za kawaida kwa ajili ya kumalizia mpira...huko angekuwa anacheza panga pangua kama itakavyokuwa kwa HD.
Milioni tano tu ameshindwa kulinda heshima aliyojiwekea Simba.
Sasa hii ni kumchagulia mchezaji team, haiko sawa, pia kila mchezaji ana njaa km ndo hivyo, maana wanatafuta maisha yao ya baadae.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ni kweli ukimwachà mtu na yeye hii ndo ajira yake, na kapata ofa kubwa unategemea afe njaa kweli? Eti asubiri awe legend?
Km hajastaafu haiwezekani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MPIRA wetu unahitaji.

1. Miundombinu.
2.vifaa vya MICHEZO.
3. Viwanja Bora.
4. MAKOCHA.
6.Academy za WATOTO.
7. VAR, GLT..

MPIRA WETU NI ZAIDI YA JEZI YA MKUDE, AMKA USINGIZINI HIVI NANI AMEWAROGA?????
Miongoni mwa mashabiki ninaowaekewa wakikomenti.
 
Simba hatunaga kwere siye, tutaistaafisha jezi ya Nungunungu kama tulivyopanga. Na hata wazee wa klabu nimewaomba wasiifanyie jezi yake 'mambo ya Kiswahili sawahili' akajikuta amestaafu na Moira wenyewe bila kupenda. Wazee wetu hawana roho mbaya kama wale wengine.
 
Back
Top Bottom