Swadaktaaaaaa!!!Mlitaka Mkude astaafu kucheza soka? Au mlitaka aende penye riziki ndogo? Huu ni ujuha.
Mkude hajataka kuondoka Simba. Bali uongozi ndiyo uliona wampe mkono wa kheri akatafute changamoto kwingine. Ina maana walipaswa kumchagulia timu ya kwenda? La hasha!.
Mkude ataendelea kuwa 'Legend' kwenye klabu yetu. Ninyi mnaotafsiri vinginevyo ni Mashabiki Maandazi.
Tena maandazi yale yanakuwaga na upepo.Mlitaka Mkude astaafu kucheza soka? Au mlitaka aende penye riziki ndogo? Huu ni ujuha.
Mkude hajataka kuondoka Simba. Bali uongozi ndiyo uliona wampe mkono wa kheri akatafute changamoto kwingine. Ina maana walipaswa kumchagulia timu ya kwenda? La hasha!.
Mkude ataendelea kuwa 'Legend' kwenye klabu yetu. Ninyi mnaotafsiri vinginevyo ni Mashabiki Maandazi.
Angekuwa hana njaa angeenda club za kawaida kwa ajili ya kumalizia mpira...huko angekuwa anacheza panga pangua kama itakavyokuwa kwa HD.Njaa mbayaa kivipi? Si tulimuacha wenyewe au?
Ni kweli ukimwachà mtu na yeye hii ndo ajira yake, na kapata ofa kubwa unategemea afe njaa kweli? Eti asubiri awe legend?Njaa mbayaa kivipi? Si tulimuacha wenyewe au?
Hakuna kustaafisha wala kumuaga.Sitaki kuandika uchambuzi wowote kuhusu Mkude, swali ni je, tustaafishe jezi yake au, tufute hilo swala kwa kuwa kaenda upande wa pili kutafuta masilahi?
Sasa hii ni kumchagulia mchezaji team, haiko sawa, pia kila mchezaji ana njaa km ndo hivyo, maana wanatafuta maisha yao ya baadae.Angekuwa hana njaa angeenda club za kawaida kwa ajili ya kumalizia mpira...huko angekuwa anacheza panga pangua kama itakavyokuwa kwa HD.
Milioni tano tu ameshindwa kulinda heshima aliyojiwekea Simba.
Km hajastaafu haiwezekani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli ukimwachà mtu na yeye hii ndo ajira yake, na kapata ofa kubwa unategemea afe njaa kweli? Eti asubiri awe legend?
Miongoni mwa mashabiki ninaowaekewa wakikomenti.MPIRA wetu unahitaji.
1. Miundombinu.
2.vifaa vya MICHEZO.
3. Viwanja Bora.
4. MAKOCHA.
6.Academy za WATOTO.
7. VAR, GLT..
MPIRA WETU NI ZAIDI YA JEZI YA MKUDE, AMKA USINGIZINI HIVI NANI AMEWAROGA?????