The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hapo kuna changamoto wataalamu njooni mtoe mwongozo. hasa maeneo yanayotarajiwa kuwa na mvua juu ya wastani
Hatua gani umefika au ndio unaanza.Hapo kuna changamoto wataalamu njooni mtoe mwongozo. hasa maeneo yanayotarajiwa kuwa na mvua juu ya wastani
Neno USIOGOPE limetajwa mara 365 ndani ya Biblia, kwa hiyo mdau anapaswa kuikabidhi kesho yake na mashaka yake yote kwa Bwana.Tumeizuia EL-NINO kwa Jina la YESU Kristo Bwana. Kwa Tanganyika mvua zitakuwa ni za wastani. Msiogope mnamwamini Mungu, mwaminini na YESU Kristo.
“Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi."
— Yohana 14:1 (Biblia Takatifu
Jenga msingi au boma acha linyeshewe.Hapo kuna changamoto wataalamu njooni mtoe mwongozo. hasa maeneo yanayotarajiwa kuwa na mvua juu ya wastani
Jenga msingi au boma acha linyeshewe.