Je, tuendelee na ujenzi au tusubiri El-Nino ipite?

Tumeizuia EL-NINO kwa Jina la YESU Kristo Bwana. Kwa Tanganyika mvua zitakuwa ni za wastani. Msiogope mnamwamini Mungu, mwaminini na YESU Kristo.

“Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi."

— Yohana 14:1 (Biblia Takatifu)
 
Neno USIOGOPE limetajwa mara 365 ndani ya Biblia, kwa hiyo mdau anapaswa kuikabidhi kesho yake na mashaka yake yote kwa Bwana.

Cha msingi ni mtu kuhuchukua tu tahadhari za kibinadamu. Katika ulimwengu wa mwili tunapanga mipango ya muda mrefu kana kwa hakuna kifo wala mauti. Katika ulimwengu wa roho ni kinyume chake, tuna hofu na yajayo kwa kuwa chochote kile kinaweza kututokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…