Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Kaka Paskali Habari ya Ramadan kareem
Nina neno Moja tu
Wanaohubiri kwamba wanakataa udini na ukabila ndo waenezaji wakuu!

Dhambi hii ya kupelekea jina SUKUMA GANG alisababisha hayati Mpendwa wetu aliyetangulia Mbele ya haki!

Mnaona Inavyouma heee

Wahaya tumebaguliwa zamani tokea enzi za Nyerere kwenye kupangua mpaka passmarks

Ukiwa na 93/100 kwa miaka yetu tulosoma bado ipo mitihani miwili huendi sekondari Ila akina Kabudi wa Dodoma walio pata 61/100 wakapelekwa vipaji maalumu’ dhambi hii itawatafuna kila mtu kwenye Taifa hili

Imekuja kwa wachaga Magufuli alivyoingia ikulu kwanza akadili nao wa kaskazini wote na kuna kesi 24 za kufoji dhidi ya wachaga na wakaskazini na akadiriki kupeleka viongozi katili pande hizo Ilabaguliwa kanda ya kaskazini,,,


Sasa alivyoondoka ime turn kwa Wasukuma Waliomsapot wakidhani atakuwa Rais wa MILELE japo hawajui kuwa Jamaa si msukuma hakuna msukuma anakaa chato… hao wote ni WASHUTI wa kuja


Britanicca
 
Wasukuma ni bongolala hiyo hata kama haikubaliani nayo, kibiashara Wahaya si eneo lao ila Wanyakyusa ndiyo wafanyabiashara wanaotuwakilisha vyema Zambia na Malawi. They're doing great there tena sana tu.
Wachaga watoe kabisa kwenye orodha, hao ni wa kuwalinganisha na Wahindi/Waarabu lakini haya makabila mengine yarudi kwenye drawing table. Wapemba wako vizuri mno kiuchumi lakini miji ya Chakechake na Wete haina maendeleo yoyote hivyo mji si kipimo cha maendeleo bora hata(lakini Unguja yote wanaitawala wao kiuchumi/kuiwekezaji) ungezungumzia average life standards za watu wa makabila husika kuanzia vijijini na mijini na si kuwa na matajiri wa kuhesabika huku majority wakiwa taabani kimaisha.
Kichekesho ni pale unapotumia miji miwili kulazimisha point yako japo Mwanza ni ya watu mchanganyiko tena kwa sasa ndiyo kabisa Wasukuma wanamezwa.
Wasukuma bado ni bongolala, mlivyo wengi mlipaswa kuwa mna-control kila sekta katika nchi.
 
Wewe ni mpuuzi tu huna hoja! waliotumeza hapo Mwanza ni wahaya unaweza kunitajia hotel ya maana hapo Mwanza ya Mhaya au Mnyakyusa? Nani kakwambia Mwanza kuna wasukuma pekeyake?

Wewe una chuki tu na wasukuma wakipata nafasi unasema wana leta ukabila wakikosa unasema bongo lala!
Niambie hao wahaya wako wananini cha ajabu?

Tena nikwambie tu nyinyi wahaya mtaendelea kupotea sana maana biashara hamjui mpo kutegemea ajira!

Huko Tunduma wafanya biashara wakubwa ni Wakinga na biashara kubwa hapo ni ya transit ambayo huwezi kusema Malori yanayopita tunduma zambia ni ya kibila fulani!

Wafanya biashara wakubwa wa madini wilaya ya chunya ni wasukuma na makabila mengine niambie mhaya anafanya biashara gani ya maana?

Chalamila mkuu wa mkoa wa Kagera anasema nyinyi mnachoweza ni majungu!

Endelea Kuwaita wasukuma bongo lala huku ukibaki na ujuaji usio na faida!
 
Acha unafiki kwa nini wakati wa Magufuli hukuandika hizi hadithi??
 
Makini sana P
 
Bangi za kuvuta kwa kujificha ni mbaya rudia kusoma ulichoandika!
 
Wasukuma ni watu wanaochukiwa Sana Hapa nchin Sana Sana na makabila ya Kanda ya kaskazini
Lakin Cha kushangaza ni wengi Sana maana Kuna mikoa Zaid ya mitano Hapa nchin ni kabila la wasukuma tu
Na kinachowauma Zaid msukuma wanaemuita mshamba ndy alieibadlisha nchi hata iwe na muonekano flyover,barabaran zeny viwango ,ikulu chamwino na vitu vngne Kbao yule msukuma aliwapa Ila Kila kukicha nikumtukana tu yy na kabila lake
Washamba washamba haya we mjanja umeifanyia nn hii nchi Zaid ya mikelele na kusapoti ushoga tu .
In vice versa msukuma n mjanja na nyie ndy washamba.
Nb.Kabila Langu halfcast wa kikurya na kinyamwez na nmezaliwa mwanza kama imekuuma jamba mashuzi upumuliwe kisogon.
 
kukemea jina la
....kama kuna mahali humu JF nimewahi kutumia jina hilo kwa misingi ya kibaguzi ama namna yoyote ya kudhiaki nashauri moderators wanipige bani ya wiki au mwezi kabisa. Toka nimejiunga JF ziadi ya miaka kumi sijawahi kupigwa ban. Kwa hiyo, nikipata bani muda huu, ni adhabu ambayo itakuwa imenishughulikia kisaikolojia na itaniweka kwenye mstari kama kweli nimehama kutoka kwenye mstari wa kuelekea Taifa moja la Tanzania lenye nguvu kiuchumi, kitekenolojia nakadhalika.
 
Certified fool.
 
Wasukuma hatuchukiwi bali wafuasi wa Magufuli maarufu kama Sukuma Gang ndiyo wanachukiwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…