Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Wanabodi,

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.

Swali la leo ni kuhusu kuibuka na kuchopuka kwa viji sentiments vya viashiria vya ubaguzi wa udini, ukanda na ukabila, sasa jee ni tuunganishe nguvu kukemea au roache tuu ukiisha ota na kukomaa ndipo tuukate?. Ubaguzi Ubaguzi huu wa kisasa unafanywa kwa viji neno neno vya kibaguzi, je neno Sukuma Gang, sio neno la kibaguzi?. ni neno tuu la kawaida tuliache au ni neno la kibaguzi linalostahili kukemewa?. Je mnaonaje kama Watanzania tukiungana kukemea vijineno neno vyenye viashiria vya Ubaguzi wa aina yowote kwa jina lolote?

Nimeileta hoja hii kufuatia as days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

The Mkuu Sexless , kwanza nikupongeze kuileta hoja hii, pili japo ni kweli neno Sukuma Gang ni itikadi tuu, lakini si kweli kuwa iliasisiwa na Magufuli!. Tumwacheni Magufuli apumzike kwa amani!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Neno Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!

Pia sii kweli! bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!

Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!

Hapa nakuunga mkono!

Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema! Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang! This is not fair at all! Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma! Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!

Paskali
Uko sahihi mkuu hii ni agenda ya watu wa mikoa ya pwani ndani ya ccm, ikiongozwa na wanamtandao uchwara kifikra na kimantiki. pia Kuna vimelea hivyo kwa wachaga piq
 
Kama kutakuja kuwa na ukabila mkubwa nchi hii, basi wasukuma ndio watakaokuwa sababu kubwa ya jambo hilo. Kwa muda mfupi tu tangu 2015 nafasi nyingi sana serikalini zilichukuliwa na wasukuma. Na kumekuwa na trend ya kujiona ndio wanastahili na pia kuendekeza ubaguzi dhidi ya wengine. Nitamlaumu JPM sana kwa kuleta balaa hili kwa makusudi kabisa.

Siku inakuja ukabila utakuwa synonymous to Sukuma.
 
Tatizo la Ubaguzi wa Ukanda na Ukabila lilianza kipindi cha mwenda zake huyu ndo chanzo cha haya yote ku exaggerates watu wa kabila lake tu ndo wanaojua na kuwapa fursa ya ajira na ndo hv hv kwa Bibiye na hata Rais Mwingine ajaye yani amin kwamba yanayoendelea yaliasisiwa na Jiwe na kamwe hayatakaa yaishe Hii dhambi itatafuna hili Taifa
We ndo usiongee kabisa nyie ni wabaguzi yaani hamfai kabisa
 
Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.

MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?

KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.

KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
 
Na wachaga hawafai kabisa hayo makabila ushamba mzigo kujiona angalia wakina kimei, mramba miaka ya nyuma waliharibu kila kitu kujaza ndugu zao...sasa wanaumia sana tangu jamaa achange
Kama kutakuja kuwa na ukabila mkubwa nchi hii, basi wasukuma ndio watakaokuwa sababu kubwa ya jambo hilo. Kwa muda mfupi tu tangu 2015 nafasi nyingi sana serikalini zilichukuliwa na wasukuma. Na kumekuwa na trend ya kujiona ndio wanastahili na pia kuendekeza ubaguzi dhidi ya wengine. Nitamlaumu JPM sana kwa kuleta balaa hili kwa makusudi kabisa.

Siku inakuja ukabila utakuwa synonymous to Sukuma.
 
We ndo usiongee kabisa nyie ni wabaguzi yaani hamfai kabisa
Nikiona comment ya 'minja' anakemea ukabila naishia kucheka tu.Hawana hata aibu kuongelea ukabila wakati wao ndiyo vinara namba moja wa ukabila na ubaguzi hapa Tanzania.Na CCM kwa kujua udhaifu wao wamewashikamanisha CHADEMA na uchagga na walishashindwa kuwaprove wrong CCM.

Angalia wabunge wote wa kuteuliwa 2020-2015 asilimia 80% walikuwa Wamama wa Kichagga halafu 20% ndiyo wakawapa makabila mengine kuogopa aibu.
 
Ubaguzi wa kikabila haujaanza leo Tanzania. Ubaguzi umekuwepo tangu tunapata uhuru na hasa kwa makabila ambayo yalibahatika kupata elimu enzi za ukoloni. Makabila hayo ni kama wachaga, wahaya, wanyakyusa nk. Ilikuwa si rahisi kupata ajira katika serikali au mashirika ya umma kama si miongoni mwa wao.

Hivyo jitihada kubwa zilifanyika kukemea jambo hili la ubaguzi wa kikabila na pongezi kubwa zimwendee Mwalimu Nyerere. Kwa kiasi kikubwa mafanikio yalionekana ingawa bado fikra za kibaguzi ziliendelea kubaki kwa kificho.

Magufuli aliopoingia madarakani na bado akiwa na kinyongo kwa makabila hayo ambayo kimsingi yalikuwa bado yanashikilia nafasi nyeti katika taasisi za umma akaamua kufanya mapinduzi kwa kulipiza kisasi. Hivyo akaanza kupandikiza wasukuma kwa kasi ya ajabu na wapambe wachache kutoka makabila mengine. Bila woga na kwa ujasiri mkubwa haya mapandikizi na wapambe wakavimba vichwa na kuanza kufanya vituko vya wizi, ujambazi na kupora watu na rasilimali za umma. Wakamtukuza na kumuabudu Magufuli na kufanya kila aina ya uovu kwa kisingizio cha amri kutoka juu. Vyombo vya dola navyo vikanywea bila kuchukua hatua yo yote kwa kumuhofia Magufuli. Mambo hayo hayakubaliki wala kuvumilika kwa kuwa waliyafanya kama vile Magufuli na wao wataishi milele.

Sasa Magufuli amekufa na upo uongozi mwingine. Hawaamini macho yao kuwa enzi zimebadilika na hawakubali mabadiliko. Bado wanataka kuendelea na kuendeleza udhibiti wa mamlaka ya nchi. Na kwa kuwa sasa wananchi walio wengi wamezinduka kutoka ganzi waliyopigwa enzi za Magufuli ni wazi lazima kelele za kulaani na kukemea ziwe nyingi. Kelele hizi zitaendelea hadi pale wapambe wote wa udhalimu wa Magufuli utakapotokomea.

Kwa hiyo huu si ubaguzi wa kikabila wa kuwabagua wasukuma, hapana. Pamoja na kwamba hawakujiita wao ni Sukuma Gang lakini walifurahia kuitwa Hivyo na Magufuli pia alifurahia kwa kuwa hakuwahi kukemea na badala yake aliwapongeza.

Sukuma Gang siyo jina zuri lakini ndiyo utambulisho bora unaowafaa hawa vibaraka wa Magufuli. Na tuendelee kuwazomea hivyo hadi wakome.

Wasukuma kama kabila wasiwe na hofu, ni watu wazuri na wakarimu na waishi kwa amani. Wasukuma kama kabila nao pia walipata madhila kama waliyopata makabila mengine.
 
Na wachaga hawafai kabisa hayo makabila ushamba mzigo kujiona angalia wakina kimei, mramba miaka ya nyuma waliharibu kila kitu kujaza ndugu zao...sasa wanaumia sana tangu jamaa achange
Navyo wafamu wachagga walishasoma tangu zamani na wakati wote tangu uhuru wameminywa mno nafasi za uongozi na hata za uwekezaji kutokana na hofu ya Nyerere dhidi yao tangu kabla ya uhuru. Wamekuwa kama wahindi hawaangaiki sana na nafasi za kupewa serikalini.
 
Na kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa ndani ya CHADEMA ni wanapewa wamama wa Kichagga tu kwa kuwa 'wamesoma' sana na hao wamama wengine wanaokipigania chama wao waendelee kuimba Peoples Power tu [emoji848]
 
Jo usipokunywa mipombe michafu unakuwaga na akili,hili umeliweka vizuri ijulikane kuwa waasisi wa sera za ubaguzi wa kidini,kabila na hatimaye itikadi za kisiasa ni CCM. Walianza na CUF wakaibrand kuwa ni Chama Cha Waislam as if Waislam siyo watu katika Tanzania hii wakaenda mbali na kuihusisha CUF na ugaidi thumbtack 'container la Mahita'.
Baada ya kuwamaliza CUF nguvu na kuinukia kwa Chadema kuwa tishio wakaanza kusema kuwa Chadema ni chama Cha Wachaga, kama hiyo haitoshi wakaongeza kuwa Chadema ni chama Cha Wakristo tena Walutheri. Alipoingia Magufuli naye akaendeleza Sera hizo na kwa vile yeye alikuwa na chuki binafsi na Wachaga basi Chadema chama Cha Wachaga wakawa kwake kama najisi kwake na akazidi kupandikiza chuki hiyo na hadi akatumia mabilioni ya kodi za Watanzania kuhakikisha kuwa anaiua Chadema kabisa isiwepo tena kwenye ulingo wa siasa za nchi hii, wote tulishuhudia alichokifanya kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita. Pia tukumbuke jinsi alivyowaumiza wanachama wa Chadema katika miaka yake mitano aliyokaa madarakani.

Hata michango ya wafuasi wake hapa jukwaani utaona jinsi inavyoinyesha chuki kwa Wachaga na Chadema. Kinachoendelea sasa kuhusu hii Sukuma Gang ambayo kiukweli siyo ya Wasukuma bali wafuasi wa Magufuli ni kujibu mapigo kwa upande ulioumizwa na Magufuli na mahenchmen wake kina Sabaya na Makonda. Rais Samia ameliona hili ndiyo maana amekubali kuwa muungwana na kukubali yawepo maridhiano ili tusameheane na tuanze ukurasa Mpya kabla hatujafikia hatua waliyofikia majirani zetu Kenya,Rwanda na Burundi ambao ni wahanga wakubwa wa ubaguzi wa kikabila. Hata kinachoendelea sasa msingi wake ni ukabila Wajaluo vs Wakikuyu,hili siyo afya hata kidogo. Cha kushangaza wanaopiga vita na kudharau maridhiano yanayoendelea ni hawa wafuasi wa Magufuli maarufu kama Sukuma Gang.
Roho hii ya visasi na kutotaka kusameheana iko zaidi huko Rwanda na Burundi kati ya Wahutu na Watutsi, na wengi wa hawa Sukuma Gang asili yao ni wahamiaji haramu toka kwenye makabila hayo mawili ya Rwanda na Burundi.Tukatae hawa Banyamulenge kutiambukiza roho zao za kiuaji na visasi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
😂😂😂
 
Afdhali na Magufuli hao ndo namba moja washamba sana
Nikiona comment ya 'minja' anakemea ukabila naishia kucheka tu.Hawana hata aibu kuongelea ukabila wakati wao ndiyo vinara namba moja wa ukabila na ubaguzi hapa Tanzania.Na CCM kwa kujua udhaifu wao wamewashikamanisha CHADEMA na uchagga na walishashindwa kuwaprove wrong CCM.

Angalia wabunge wote wa kuteuliwa 2020-2015 asilimia 80% walikuwa Wamama wa Kichagga halafu 20% ndiyo wakawapa makabila mengine kuogopa aibu.
 
Navyo wafamu wachagga walishasoma tangu zamani na wakati wote tangu uhuru wameminywa mno nafasi za uongozi na hata za uwekezaji kutokana na hofu ya Nyerere dhidi yao tangu kabla ya uhuru. Wamekuwa kama wahindi hawaangaiki sana na nafasi za kupewa serikalini.
Nafsi zip za kupewa ? Mramba ,kimei, hao wachache waliharibu kila kitu kwa kujaza ndugu zao wabaki makwao basi.

Huyo Mengi ni nguvu ya Nyerere kupromote wazawa ndo akapewa fursa ya na kusapotiwa kuwa tajiri...Wachaga wanawazidi wapi wahaya kwa elimu?

Ubaguzi ndo ngao yao nenda kanunue ardhi huko kwao uone balaa au anzisha biashara kwao..

Bahati nzuri hWana mji unaovutia hata ndo maana population ni ndogo wanakimbia maana hata wenyewe kwa wenyewe wanagombana .
 
Sukuma gang na panya road ndiyo magenge ya kihalifu yakukemewa

Nadhani criminology and penology inataka jinai ikemewe na jamii ione hakuna manufaa kwa kuwa muhalifu au kushiriki uhalifu

Kuwa mualifu ni kufanya, kusaidia na kuchochea

Kushiriki nikuwa a part of transaction au ku-conspire

Now, Sukuma gang ni watu sadist, wanaopenda kuona wenzao wanaishi kama mashetani, kwa kutenda jinai, malicious prosecutions eventually kula hela za plea bargain.

Wamepoteza 1.5 Trillion, wamefanya upigaji kwenye manunuzi ya ndege na miradi mikubwa ya kipigaji

Hao ni watu hatari kuliko panya road, tuwakemee kwa nguvu zetu zote

Hakuna mtu mwenye matatizo na wasukuma, bali sukuma gang
Kwanini litumike neno la sukuma ikiwa hamna tatizo na wasukuma? Hivi leo hii mashoga wote niwape jina la Wapemba gang halafu niseme kwamba sina tatizo na wapemba si kwamba wapemba wote ni mashoga je nitaeleweka?
 
Wasukuma ni washamba, iwe wamesoma au wasiosoma. Ukiwa MSUKUMA unakuwa CERTIFIED MSHAMBA mpaka KIFO chako.
 
Back
Top Bottom