Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Uko sahihi mkuu hii ni agenda ya watu wa mikoa ya pwani ndani ya ccm, ikiongozwa na wanamtandao uchwara kifikra na kimantiki. pia Kuna vimelea hivyo kwa wachaga piq
 
Kama kutakuja kuwa na ukabila mkubwa nchi hii, basi wasukuma ndio watakaokuwa sababu kubwa ya jambo hilo. Kwa muda mfupi tu tangu 2015 nafasi nyingi sana serikalini zilichukuliwa na wasukuma. Na kumekuwa na trend ya kujiona ndio wanastahili na pia kuendekeza ubaguzi dhidi ya wengine. Nitamlaumu JPM sana kwa kuleta balaa hili kwa makusudi kabisa.

Siku inakuja ukabila utakuwa synonymous to Sukuma.
 
We ndo usiongee kabisa nyie ni wabaguzi yaani hamfai kabisa
 
Wasukuma wana UKABILA sana, hawafai kupewa nafasi yoyote ya Uongozi.

MKAPA amekuwa RAIS uliwahi kuona watu wa MTWARA wamejazana maofisini?

KIKWETE amekuwa RAIS lakini hukuona amejaza watu wa MKOA WA PWANI au wa KABILA LAKE.

KICHAA MAGUFULI, MIAKA 5 tu NCHI IMEGEUKA YA WASUKUMA, TISS alijaza WASUKUMA hadi anawaita IKULU na wanaongea KISUKUMA.
Tunayajua mengi sana ya Magufuli juu ya UKABILA wake.
Mungu atuepushe na UJINGA WA WASUKUMA KUPEWA HATA UKUU WA MIKOA. NI WAPUMBAVU NA WASHAMBA.
 
Na wachaga hawafai kabisa hayo makabila ushamba mzigo kujiona angalia wakina kimei, mramba miaka ya nyuma waliharibu kila kitu kujaza ndugu zao...sasa wanaumia sana tangu jamaa achange
 
We ndo usiongee kabisa nyie ni wabaguzi yaani hamfai kabisa
Nikiona comment ya 'minja' anakemea ukabila naishia kucheka tu.Hawana hata aibu kuongelea ukabila wakati wao ndiyo vinara namba moja wa ukabila na ubaguzi hapa Tanzania.Na CCM kwa kujua udhaifu wao wamewashikamanisha CHADEMA na uchagga na walishashindwa kuwaprove wrong CCM.

Angalia wabunge wote wa kuteuliwa 2020-2015 asilimia 80% walikuwa Wamama wa Kichagga halafu 20% ndiyo wakawapa makabila mengine kuogopa aibu.
 
Ubaguzi wa kikabila haujaanza leo Tanzania. Ubaguzi umekuwepo tangu tunapata uhuru na hasa kwa makabila ambayo yalibahatika kupata elimu enzi za ukoloni. Makabila hayo ni kama wachaga, wahaya, wanyakyusa nk. Ilikuwa si rahisi kupata ajira katika serikali au mashirika ya umma kama si miongoni mwa wao.

Hivyo jitihada kubwa zilifanyika kukemea jambo hili la ubaguzi wa kikabila na pongezi kubwa zimwendee Mwalimu Nyerere. Kwa kiasi kikubwa mafanikio yalionekana ingawa bado fikra za kibaguzi ziliendelea kubaki kwa kificho.

Magufuli aliopoingia madarakani na bado akiwa na kinyongo kwa makabila hayo ambayo kimsingi yalikuwa bado yanashikilia nafasi nyeti katika taasisi za umma akaamua kufanya mapinduzi kwa kulipiza kisasi. Hivyo akaanza kupandikiza wasukuma kwa kasi ya ajabu na wapambe wachache kutoka makabila mengine. Bila woga na kwa ujasiri mkubwa haya mapandikizi na wapambe wakavimba vichwa na kuanza kufanya vituko vya wizi, ujambazi na kupora watu na rasilimali za umma. Wakamtukuza na kumuabudu Magufuli na kufanya kila aina ya uovu kwa kisingizio cha amri kutoka juu. Vyombo vya dola navyo vikanywea bila kuchukua hatua yo yote kwa kumuhofia Magufuli. Mambo hayo hayakubaliki wala kuvumilika kwa kuwa waliyafanya kama vile Magufuli na wao wataishi milele.

Sasa Magufuli amekufa na upo uongozi mwingine. Hawaamini macho yao kuwa enzi zimebadilika na hawakubali mabadiliko. Bado wanataka kuendelea na kuendeleza udhibiti wa mamlaka ya nchi. Na kwa kuwa sasa wananchi walio wengi wamezinduka kutoka ganzi waliyopigwa enzi za Magufuli ni wazi lazima kelele za kulaani na kukemea ziwe nyingi. Kelele hizi zitaendelea hadi pale wapambe wote wa udhalimu wa Magufuli utakapotokomea.

Kwa hiyo huu si ubaguzi wa kikabila wa kuwabagua wasukuma, hapana. Pamoja na kwamba hawakujiita wao ni Sukuma Gang lakini walifurahia kuitwa Hivyo na Magufuli pia alifurahia kwa kuwa hakuwahi kukemea na badala yake aliwapongeza.

Sukuma Gang siyo jina zuri lakini ndiyo utambulisho bora unaowafaa hawa vibaraka wa Magufuli. Na tuendelee kuwazomea hivyo hadi wakome.

Wasukuma kama kabila wasiwe na hofu, ni watu wazuri na wakarimu na waishi kwa amani. Wasukuma kama kabila nao pia walipata madhila kama waliyopata makabila mengine.
 
Na wachaga hawafai kabisa hayo makabila ushamba mzigo kujiona angalia wakina kimei, mramba miaka ya nyuma waliharibu kila kitu kujaza ndugu zao...sasa wanaumia sana tangu jamaa achange
Navyo wafamu wachagga walishasoma tangu zamani na wakati wote tangu uhuru wameminywa mno nafasi za uongozi na hata za uwekezaji kutokana na hofu ya Nyerere dhidi yao tangu kabla ya uhuru. Wamekuwa kama wahindi hawaangaiki sana na nafasi za kupewa serikalini.
 
Na kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa ndani ya CHADEMA ni wanapewa wamama wa Kichagga tu kwa kuwa 'wamesoma' sana na hao wamama wengine wanaokipigania chama wao waendelee kuimba Peoples Power tu [emoji848]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afdhali na Magufuli hao ndo namba moja washamba sana
 
Nafsi zip za kupewa ? Mramba ,kimei, hao wachache waliharibu kila kitu kwa kujaza ndugu zao wabaki makwao basi.

Huyo Mengi ni nguvu ya Nyerere kupromote wazawa ndo akapewa fursa ya na kusapotiwa kuwa tajiri...Wachaga wanawazidi wapi wahaya kwa elimu?

Ubaguzi ndo ngao yao nenda kanunue ardhi huko kwao uone balaa au anzisha biashara kwao..

Bahati nzuri hWana mji unaovutia hata ndo maana population ni ndogo wanakimbia maana hata wenyewe kwa wenyewe wanagombana .
 
Kwanini litumike neno la sukuma ikiwa hamna tatizo na wasukuma? Hivi leo hii mashoga wote niwape jina la Wapemba gang halafu niseme kwamba sina tatizo na wapemba si kwamba wapemba wote ni mashoga je nitaeleweka?
 
Kwanini litumike neno la sukuma ikiwa hamna tatizo na wasukuma? Hivi leo hii mashoga wote niwape jina la Wapemba gang halafu niseme kwamba sina tatizo na wapemba si kwamba wapemba wote ni mashoga je nitaeleweka?
Wasukuma ni washamba, iwe wamesoma au wasiosoma. Ukiwa MSUKUMA unakuwa CERTIFIED MSHAMBA mpaka KIFO chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…