Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

Huo ni uongo! Wachaga kama walivyo wahaya ni wabaguzi na ajira za serikali wanazitaka sana. Bahati nzuri Nyerere aliwasoma vizuri sana. Aliwapa kazi kulingana na utaalamu wao ingawa hakuwapa nafasi nyingi za kisiasa lakini walipewa.
 
Wewe naona unaruka ruka tu.Swala la ubaguzi haliangalii upo kwa nafasi ipi? Unaongelea kina Mramba au Kitillya kuwa ni vidagaa tu na wakati huo huo unamshutumu JPM kuweka mtu wake TRA? Hivi kwanza unafahamu Kitillya alikuwa na wadhifa gani pale TRA? Kama nafasi ya C.General TRA ni 'vidagaa' kwa mujibu wako,why unamshutumu sasa JPM kwakuwa kumbe hakukuwa na madhara kuweka 'mtu wake' kwa ile nafasi.

Hivi kuna sehemu ukienda unakuta watu wanagonga kichagga karibu wote kama TRA,CRDB au Wizara ya Fedha?

Ukiishi kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe,kwa hili la ubaguzi Wachagga kaeni kimya kabisa acheni wengine waongee siyo nyinyi.
 
Huo ni uongo! Wachaga kama walivyo wahaya ni wabaguzi na ajira za serikali wanazitaka sana. Bahati nzuri Nyerere aliwasoma vizuri sana. Aliwapa kazi kulingana na utaalamu wao ingawa hakuwapa nafasi nyingi za kisiasa lakini walipewa.
Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.
 
Wasukuma mna potential kubwa sana ila… Katika baadhi ya kazi zangu naajiri wasukuma tu, ila ni wale original wa kijijini wanaweza mambo flani ila wasukuma waliowehuka mjini wanakuwa sio.
Wewe unaweza kumwajiri nani? Hebu punguza wenge basi [emoji23][emoji23]
 
Huo ni uongo! Wachaga kama walivyo wahaya ni wabaguzi na ajira za serikali wanazitaka sana. Bahati nzuri Nyerere aliwasoma vizuri sana. Aliwapa kazi kulingana na utaalamu wao ingawa hakuwapa nafasi nyingi za kisiasa lakini walipewa.
Objective comment
 
Hapo tayari inaonyesha wewe ni miongoni mwa wanaounga mkono Ubaguzi !! Toa Ushahidi wa Nyerere kukataa makabila hayo uliyoyataja yasiruhusiwe mtu kuwa Kiongozi wa Nchi . Na pia wala Kikwete hakumtaka Magufuli awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya wajumbe wa Ccm !!
 
Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.
Unaona sasa unavyotoa rangi halisi za ubaguzi mlionao.Taratibu tu utakiri mwenyewe kwa kinywa chako.Haya jitahidini sasa mpate uhuru wenu kupitia Chama chetu pendwa ili muondokane na 'kunyanyasika' mlikotendewa tangu enzi za kabla ya Uhuru
 
Magufuli alikuwa nafanya Serikali kama Mtei alivyo kuwa Boss wa CRDB.Mtei amejaza wachaga CRDB unaweza ukahisi ni Bank ya Wachaga-kati ya Wafanyakazi 10 wa CRDB 8 ni Wachaga.
Kimei bila shaka. Kuna jamaa mwingine aliigeuza NSSF kuwa kitengo cha dini. Nasikia ni Balozi hivi sasa. Sijui naye atarudishwa kitengoni kwake kama alivyorudishwa Mchechu pale NHC!?
 
Naajiri hata ma house boys. Jiwe aliajiri wauaji kutoka usukumani na walichakaza watu vibaya.
Kama ni Ma House boys hata mimi ninao hapa vijana wawili wa Kichagga,mmoja anakatia ng'ombe nyasi mwingine anatunza shamba la migomba.
 
Ushoga una athari kwa anayefanywa, ila mauaji huleta athari kwa jamii nzima. Ushoga ni wao, sisi tuko hapa kwa upumbavu wenu na ushamba wenu. Shukuruni mm sijaupata URAIS mngekula chanjo za sumu wapumbavu nyinyi. Nchi hii mliifanya kama mko peke yenu.
 
Wasukuma wapo kabla ya Sukuma Gang. Jamii inawajua na inajua mchango wao, nafikiri jamii ina matatizo na hilo genge la wahuni
Hilo genge lisingeitwa sukuma kama ingekuwa wasukuma kama kabila hawana tatizo.
Kwanini litumike neno la sukuma kukusudia kundi lisilifaa? Hivi mie nikiita mashoga ni wapemba gang mtanielewa?
 
Hivi katika utawala wa Magufuli wasukuma walioteuliwa walikuwa wangapi ?!
 
Hilo genge lisingeitwa sukuma kama ingekuwa wasukuma kama kabila hawana tatizo.
Kwanini litumike neno la sukuma kukusudia kundi lisilifaa? Hivi mie nikiita mashoga ni wapemba gang mtanielewa?
Muasisi wa hilo genge ndiyo aliyekua Msukuma One, tulieni dawa iwaingie, of cause with time, hii sentiment itaisha
 
Kimei bila shaka. Kuna jamaa mwingine aliigeuza NSSF kuwa kitengo cha dini. Nasikia ni Balozi hivi sasa. Sijui naye atarudishwa kitengoni kwake kama alivyorudishwa Mchechu pale NHC!?
Mpaka aliweka na msikiti kabisa wa kuswalia nakumbuka makala yake iliandikwa kwa gazeti la Raia Mwema enzi hizo.Pengine anamsikilizia bado Godfather hajaamua kama arudi kwenye mfumo au aendelee kukaa huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…