UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Na ndio nasema hamuwezi kusema kuwa hamna tatizo na wasukuma.Kuna uhusiano wa karibu kati ya hao watu na wasukuma, hili halikwepeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio nasema hamuwezi kusema kuwa hamna tatizo na wasukuma.Kuna uhusiano wa karibu kati ya hao watu na wasukuma, hili halikwepeki.
Huo ni uongo! Wachaga kama walivyo wahaya ni wabaguzi na ajira za serikali wanazitaka sana. Bahati nzuri Nyerere aliwasoma vizuri sana. Aliwapa kazi kulingana na utaalamu wao ingawa hakuwapa nafasi nyingi za kisiasa lakini walipewa.Navyo wafamu wachagga walishasoma tangu zamani na wakati wote tangu uhuru wameminywa mno nafasi za uongozi na hata za uwekezaji kutokana na hofu ya Nyerere dhidi yao tangu kabla ya uhuru. Wamekuwa kama wahindi hawaangaiki sana na nafasi za kupewa serikalini.
Wewe naona unaruka ruka tu.Swala la ubaguzi haliangalii upo kwa nafasi ipi? Unaongelea kina Mramba au Kitillya kuwa ni vidagaa tu na wakati huo huo unamshutumu JPM kuweka mtu wake TRA? Hivi kwanza unafahamu Kitillya alikuwa na wadhifa gani pale TRA? Kama nafasi ya C.General TRA ni 'vidagaa' kwa mujibu wako,why unamshutumu sasa JPM kwakuwa kumbe hakukuwa na madhara kuweka 'mtu wake' kwa ile nafasi.Kwa hyo wewe unaowajua ni Mramba, Kitilya na Kimei sasa who are they by the way? Mbona kwanza walikua ni watu wadogo sana kwenye hili Taifa hivi hao mnaowataja bila ya kuwa na locuss wala impact kwenye hili taifa tena vidagaa wadogo unadhani waweza mlinganisha na Impact ya MAGU? nani asiyejua Magu alimweka Biswalo DPP kutoka kwao AG.Kilangi, nenda BRELA nenda TRA nasema hivyo hao watu nimefanya nao kazi yani kama sehemu nyingine sitaki kusema hata madhambi yao ila mtashughulikiwa tu ilikuwa hupati huduma mpaka uongee KISUKUMA Shamee!!
Wasukuma wapo kabla ya Sukuma Gang. Jamii inawajua na inajua mchango wao, nafikiri jamii ina matatizo na hilo genge la wahuniNa ndio nasema hamuwezi kusema kuwa hamna tatizo na wasukuma.
[emoji3][emoji3][emoji3] na JPM aliwanyoosha hatari[emoji23][emoji23]Hyo vita haya maduka yao yote yatachomwa moto ...watarudi kwao hatuwezi kukubali kuongozwa na hao watu
Wachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.Huo ni uongo! Wachaga kama walivyo wahaya ni wabaguzi na ajira za serikali wanazitaka sana. Bahati nzuri Nyerere aliwasoma vizuri sana. Aliwapa kazi kulingana na utaalamu wao ingawa hakuwapa nafasi nyingi za kisiasa lakini walipewa.
Wewe unaweza kumwajiri nani? Hebu punguza wenge basi [emoji23][emoji23]Wasukuma mna potential kubwa sana ila… Katika baadhi ya kazi zangu naajiri wasukuma tu, ila ni wale original wa kijijini wanaweza mambo flani ila wasukuma waliowehuka mjini wanakuwa sio.
Objective commentHuo ni uongo! Wachaga kama walivyo wahaya ni wabaguzi na ajira za serikali wanazitaka sana. Bahati nzuri Nyerere aliwasoma vizuri sana. Aliwapa kazi kulingana na utaalamu wao ingawa hakuwapa nafasi nyingi za kisiasa lakini walipewa.
Hapo tayari inaonyesha wewe ni miongoni mwa wanaounga mkono Ubaguzi !! Toa Ushahidi wa Nyerere kukataa makabila hayo uliyoyataja yasiruhusiwe mtu kuwa Kiongozi wa Nchi . Na pia wala Kikwete hakumtaka Magufuli awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya wajumbe wa Ccm !!Nyerere aliona mbali sana makabila makubwa ni sumu kwenye uongozi wa Nchi,Wasukuma,Wachaga,Wanyakusya na Wahaya maana watajazana kwenye nafasi zote.
Kikwete alifanya vibaya sana kwenda against mtazamo wa Nyerere na matokeo yake ndio hayo tuliyoyapata.
Naajiri hata ma house boys. Jiwe aliajiri wauaji kutoka usukumani na walichakaza watu vibaya.Wewe unaweza kumwajiri nani? Hebu punguza wenge basi [emoji23][emoji23]
Unaona sasa unavyotoa rangi halisi za ubaguzi mlionao.Taratibu tu utakiri mwenyewe kwa kinywa chako.Haya jitahidini sasa mpate uhuru wenu kupitia Chama chetu pendwa ili muondokane na 'kunyanyasika' mlikotendewa tangu enzi za kabla ya UhuruWachagga wameonewa na kunyanyaswa sana tangu kabla ya uhuru na ndio maana Mangi Marealle II alishaomba uhuru kwa ajili ya Chaggaland akapewa semi autonomy ila Nyerere alimfitini kwa Malkia Elizabeth II, mwaka 1958.
Kimei bila shaka. Kuna jamaa mwingine aliigeuza NSSF kuwa kitengo cha dini. Nasikia ni Balozi hivi sasa. Sijui naye atarudishwa kitengoni kwake kama alivyorudishwa Mchechu pale NHC!?Magufuli alikuwa nafanya Serikali kama Mtei alivyo kuwa Boss wa CRDB.Mtei amejaza wachaga CRDB unaweza ukahisi ni Bank ya Wachaga-kati ya Wafanyakazi 10 wa CRDB 8 ni Wachaga.
Kama ni Ma House boys hata mimi ninao hapa vijana wawili wa Kichagga,mmoja anakatia ng'ombe nyasi mwingine anatunza shamba la migomba.Naajiri hata ma house boys. Jiwe aliajiri wauaji kutoka usukumani na walichakaza watu vibaya.
Ushoga una athari kwa anayefanywa, ila mauaji huleta athari kwa jamii nzima. Ushoga ni wao, sisi tuko hapa kwa upumbavu wenu na ushamba wenu. Shukuruni mm sijaupata URAIS mngekula chanjo za sumu wapumbavu nyinyi. Nchi hii mliifanya kama mko peke yenu.Kwanza mie sio msukuma mkuu halafu kusema wasukuma wana kila aina ya ubaya sio kweli, kiongozi wako wa sasa jamii yake inaongoza kwa vitendo vya ushoga na kulawitiana kuliko hao wasukuma hadi wale waliyotakiwa kuwa wakakamavu nao ni mashoga kuonyesha ukubwa wa athari za hilo tatizo kwenye hiyo jamii yake ila yeye ndio kiongozi.
Hilo genge lisingeitwa sukuma kama ingekuwa wasukuma kama kabila hawana tatizo.Wasukuma wapo kabla ya Sukuma Gang. Jamii inawajua na inajua mchango wao, nafikiri jamii ina matatizo na hilo genge la wahuni
Hivi katika utawala wa Magufuli wasukuma walioteuliwa walikuwa wangapi ?!Tatizo la Ubaguzi wa Ukanda na Ukabila lilianza kipindi cha mwenda zake huyu ndo chanzo cha haya yote ku exaggerates watu wa kabila lake tu ndo wanaojua na kuwapa fursa ya ajira na ndo hv hv kwa Bibiye na hata Rais Mwingine ajaye yani amin kwamba yanayoendelea yaliasisiwa na Jiwe na kamwe hayatakaa yaishe Hii dhambi itatafuna hili Taifa
Muasisi wa hilo genge ndiyo aliyekua Msukuma One, tulieni dawa iwaingie, of cause with time, hii sentiment itaishaHilo genge lisingeitwa sukuma kama ingekuwa wasukuma kama kabila hawana tatizo.
Kwanini litumike neno la sukuma kukusudia kundi lisilifaa? Hivi mie nikiita mashoga ni wapemba gang mtanielewa?
Mpaka aliweka na msikiti kabisa wa kuswalia nakumbuka makala yake iliandikwa kwa gazeti la Raia Mwema enzi hizo.Pengine anamsikilizia bado Godfather hajaamua kama arudi kwenye mfumo au aendelee kukaa huko huko.Kimei bila shaka. Kuna jamaa mwingine aliigeuza NSSF kuwa kitengo cha dini. Nasikia ni Balozi hivi sasa. Sijui naye atarudishwa kitengoni kwake kama alivyorudishwa Mchechu pale NHC!?