figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi.
Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au wanaonufaiki na mfumo wake wanaona ni Rais wao.
Tatu anataka kujijenga Kimataifa. Sababu Dunia imeukataa uchaguzi wa Tanzania..
Anaona aibu.
Au anataka agombee Urais wa 2030 hivyo hataka kipindi kikifika ahusishwe na Uongozi wa Samia?
Kama sivyo basi anapewa Uwaziri Mkuu.