figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Umeambiwa na nani kasusa? Ingekuwa hivyo si angejiuzulu ubunge?Kitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi.
Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au wanaonufaiki na mfumo wake wanaona ni Rais wao.
Tatu anataka kujijenga Kimataifa. Sababu Dunia imeukataa uchaguzi wa Tanzania..
Anaona aibu.
Au anataka agombee Urais wa 2030 hivyo hataka kipindi kikifika ahusishwe na Uongozi wa Samia?
Mwanamke tena awe Rais, hapanaKitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi.
Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au wanaonufaiki na mfumo wake wanaona ni Rais wao.
Tatu anataka kujijenga Kimataifa. Sababu Dunia imeukataa uchaguzi wa Tanzania..
Anaona aibu.
Au anataka agombee Urais wa 2030 hivyo hataka kipindi kikifika ahusishwe na Uongozi wa Samia?
2030 hakuna Raisi mwanamke,ingawa mama anadai kipindi cha Magufuli si chake kwahiyo anataka aende hadi 2035.Kitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi.
Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au wanaonufaiki na mfumo wake wanaona ni Rais wao.
Tatu anataka kujijenga Kimataifa. Sababu Dunia imeukataa uchaguzi wa Tanzania..
Anaona aibu.
Au anataka agombee Urais wa 2030 hivyo hataka kipindi kikifika ahusishwe na Uongozi wa Samia?
Uwaziri mkuu je?Kifupi ni kwamba mfumo haumtaki, hizo zingine mbwembwe tu