Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba.

Kazi ipo.
 
Wew ndio nanii popoma siyo haya acha waje wakupopomoe
 
Back
Top Bottom