Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Tume ya Chande imeeleza kuwa viashiria vya maandamano vilianza miezi 6 before - kauli hii imehoji uwezo wa TISS, are they really capable na espionnage kubaini na kuchukua neccesary Measure ! -Hii ni Hatari kubwa sana
Kauli ya Chande kuwa kulikuwa na training za watu kujifunza uasi na ulipuaji - Another concern inayohoji uwezo wa TISS kwenye taifa letu - are we safe as a country ? Kama siku tukiwa tested na Boko haram itakuaje ?
Chande pia amebainisha kuwa waliokatwa walienda kuchochoea maandamano - another concern inayohoji uwezo wa TISS- do we really have intelligence that can forecast the risk ?
Tume ya Chande imebainisha kuwa haijaweza kuthibitisha uwepo wa Kondo grave ambayo inaaminika kwa mujibu wa satellite ya CCN ndipo yalipo makaburi ya halaiki ya watanzania- another concern inayoonesha TISS ,may be ,has failled the country kwenye espionnage kwa mujibu wa tume ya Chande
Tume ya Chande imeshindwa kubaini kuwa kulikuwa na vikosi kutoka nje ya TZ vilivyotekeleza mauaji ya halaiki na hata baadhi ya picha wakiwa wanafanya mauaji hayo zipo - lakini as we speak hawa watu pamoja na tume ya Chande kula hela nyingi pasi na tija imeshindwa kujua ni kina nani hao - another concern inayohoji uwezo wa TISS kwenye kulilinda taifa na espionnage na je kama hili limeweza kutokea na TISS haijaweka red flag iliyopelekea maelfu ya watanzania kuuliwa -je reliability na usalama wa Tanzania hata kwenye business and Investment … is it not questionable ? - is the country safe
Kikatiba, nchi ipo chini ya JWTZ kwenye kulinda mipaka ya Tanzania : what went wrong to JWTZ mpaka taifa kufikia hatua kumwaga damu na vikosi vya watu wakionekana sura zao kuingia mtaani na kuuuwa watu ?
Je nchi ipo chini ya polisi ? Kikatiba who was supposed kutangaza zuio la kutoka je ? POLISI ndio walitangaza zuio, what a shame ! Is CDF really understands misingi ya katiba ? na Core functions za JWTZ ?
Mbona kama inaonekana polisi ndio wana run nchi badala ya JWTZ ? Who has the best training to defend and protect the country ? Kwangu mimi polisi ni lower level sana when it comes about Army —- what went wrong mazafucqer to our country ?
We all know kuwa recrutement ya JWTZ ni ya kisomi sana as compared ya ya police -ndani ya polisi kuna failures wengi na wahuni wengi , cant be reliable kuilinda nchi but kwa sasa polisi ni kama ndio wanaamuwa mambo mengi ya usalama wa nchi ! What is wrong to our country - imefikia hatua Polisi wanamshitakia waziri wa mambo ya ndani na kutumbuliwa ; is Police above the Army - that is the imahe
We see
matokeo yake polisi wakaenda kuweka zuia of which tulitegemea JWTZ ndio ifanye hivo na ku control the country ! what went wrong to TZ and JWTZ ?
Kwa sasa Tanzania zinaokotwa maiti na mauaji na utekaji kila siku - je hii ni out come ya polisi kupewa kipaumbele na ni kama ndio mlinzi wa nchi huku JWTZ ni kama ime pull back ?
Kuna mahali tumeenda kombo vibaya mno
Tanzania ipo exposed , ni rahisi sana mtu kutuumiza kwa sababu tumegawanyika kuanzia kwenye vyombo vya ulinzi. Huku polisi wakiamini they can make it all alone
We are lost as country
Kwa sasa nchi inaendeshwa kama kampuni ya familia fulani : kama unadhan Katiba ni suala la mzaha kwa tulipofika : everyone will bear the consequence ——- it is all about time
Dr Megalodon Mushi (MD, MMed, PhD)
University of Ottawa
Rue 52, Canada