Je tume ya Jaji Chande imekidhi matarajio ya Watanganyika?

Je tume ya jaji Chande imekidhi hamu ya Watanganyika?


  • Total voters
    30
Ni ajabu sana ule ukumbi wote walikuwa wanafahamu ile ripoti ni uongo mtupu na data zimepikwa, nchi ya kishenzi sana hii. Tena walivyo wanafiki na makofi walikuwa wanapiga.


Kitendo walichofanya cha mauaji ni suala la muda tu itadhihirika kati ya serikali na wananchi nani ni boss...
 
Chawa na wanafiki hawakosekani popote.. Na kuna wale fuata mkumbo.. Mawazo hayapo, akili haipo akisikia makofi naye anakurupuka kupiga😀
 
Asitokee kiumbe yeyote kuomba sijui ripoti, hii ni mali yangu.... ni mali ya Rais.
 
Hakika Mungu si mwanadamu
Ningepata huo ukuu ata kwa nusu saa hakika ningewashangaza watanzania
Enewei
Mawazo ya Mungu yanapita fahamu zetu daima atabaki kuwa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…