Je tume ya Pinda itatoa lini ripoti?

Je tume ya Pinda itatoa lini ripoti?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Kama sikosei, nilisikia itatoa ripoti ya sababu za kufeli vibaya kwa wanafunzi wa Kidato cha Nne, 2012 mwezi wa Nne katikati. Sasa mwezi wa tano unakaribia, je tume hiyo itatoa lini ripoti ya uchunguzi wake?
Naomba anayejua atujulishe.
 
kuna serikali ndugu yangu??baba mwenye nyumba kutwa kigulu na njia kwa wazungu,kuomba omba tu,hata wazungu watakuwa wanatuchora tu!matatizo ya wananchi yameachwa yatajitatua yenyewe,hakuna cha majibu ndugu,kwanza wewe upewe majibu kama nani??hiyo tume inatakiwa iwekewe muwekezaji,ndipo itatoa majibu,
 
Back
Top Bottom